Akina Diamond Wataacha Legacy za Akina Baba Gaston

Akina Diamond Wataacha Legacy za Akina Baba Gaston

tutafikatu

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
3,425
Reaction score
4,773
Nasikiliza wimbo Kakolele wa Mkongo Baba Gaston anayesemekana alifariki Machi 25, 1997, hapa Tanzania (Aliamua kuishi Tanzania baada ya kustaafu shughul za muziki nchini Kenya mwaka 1989) na kisha kuzikwa makaburi ya Lang'ata jijini Nairobi.

Kwa Afrika Mashariki nyimbo za Baba Gaston na wenzake kama Jim Reeves huimbwa kila mwisho wa mwaka. Nimekuwa nikizisikia toka miaka ya mwisho ya themanini hadi sasa, lakini zikiwa na ubora uleule. Najiuliza hawa waimbaji wa sasa, kwanini wanapata mapesa sana, wakati nyimbo zao hazi hit zaidi ya mwezi?

 
Nataka kulewa mbona iko poa sana hususani kwa msimu huu wa sikukuu
 
Back
Top Bottom