Liz Senior
JF-Expert Member
- Apr 19, 2007
- 483
- 54
Mimi wanao nifurahisha ni wale wadada wanaoingia bar na pombe kali kwenye mikoba yao.. Baada ya kuhudumiwa bia kwenye glass utamwona huyo anaingia chemba.. Kabla hata ya kuagiza bia ya pili anakuwa tayali yupo na stimu kibao!
Mimi wanao nifurahisha ni wale wadada wanaoingia bar na pombe kali kwenye mikoba yao.. Baada ya kuhudumiwa bia kwenye glass utamwona huyo anaingia chemba.. Kabla hata ya kuagiza bia ya pili anakuwa tayali yupo na stimu kibao!
Vitabia vya kijerumani... mi naona huu mwizi kama wizi mwingine naninaamini wenye bar wakiipata hii wataifanyia kazi...Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye mkoba nakuondoka nayo kusiko julikana mara ya kwanza nilijua pengine kaja nazo baada ya kuondoka nikauliza kwa muhudumu nikaambiwa tumesha lizwa.
Sasa dada Bia/wine umenunuliwa unaiba glass ya nini jamani mbona mnatutia aibu wengine mpaka chupa za bia wanabeba.
Wakuu Masanilo,Chrispin aangalieni vijiweni mnakotembelea ukiona sister duuu kaja na mkoba mkubwa mtilie shaka.
kibunango umejuaje yote hayo ushawafuma wanakata Konyagi kwa kuanzia???
Na tabia hii wanayo wadada wengi waendao klabu... wengine hupenda kuingia na viloba na kwenye mwanga hafifu wa klabu wanaendeleza libeneke...Kibunango uliyajulia wapi haya wakati ww huku waja mara moja kwa mwaka
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini
Mambo ya suvunia (souvenir) hayo...!..basi anaweka na bilauli kwenye mkoba nakuondoka nayo kusiko julikana...
Bwawani Hotel enzi zile walipokuwa nazo, walikuwa na glass nzuri sana kiasi cha wadada wengi kushawishika kuondoka nazo.Mambo ya suvunia (souvenir) hayo...!
Mambo ya suvunia mbona hata makaka wanayo pia... Nilisha wahi kuona kibibi cha kitasha kikificha silver spoon (enzi hizo) ndani ya ndege (Swiss). Wapo wanao ondoka na mataulo kwenye mahotel, wapo wanao amua kwiba madukani (antique and jewelry shop) Nadhani ni tabia tu... katika moja ya tabia mbaya.Bwawani Hotel enzi zile walipokuwa nazo, walikuwa na glass nzuri sana kiasi cha wadada wengi kushawishika kuondoka nazo.
Ilikuwa ni rahisi kujua kama demu anapenda kwenda klabu kwa kuona tu glass za Bwawani nyumbani kwake! Glass hizo licha ya kuwa nzuri sana zilikuwa na lebo nzuri ya hoteli hiyo!
Mambo ya suvunia mbona hata makaka wanayo pia... Nilisha wahi kuona kibibi cha kitasha kikificha silver spoon (enzi hizo) ndani ya ndege (Swiss). Wapo wanao ondoka na mataulo kwenye mahotel, wapo wanao amua kwiba madukani (antique and jewelry shop) Nadhani ni tabia tu... katika moja ya tabia mbaya.