Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ndio maana kwenye magesti hausi ya uswazi mashuka na taulo zinagongwa nembo!, kandambili wanachanganya rangi saizi sawa lakini moja kijani nyingine njano!, hahaaaaa, wenye bar nao wabuni mbinu zaidi.
Hahahaha kandambili zinakuwa za mguu mmoja kama kulia basi nikulia yaani wanawake bana koba kuuubwa anaingia nalo akitoka tu hapo basi mafuta,soap, kandambili vyote kasunda kwenye mkoba kama vyake vile
Hahahaha kandambili zinakuwa za mguu mmoja kama kulia basi nikulia yaani wanawake bana koba kuuubwa anaingia nalo akitoka tu hapo basi mafuta,soap, kandambili vyote kasunda kwenye mkoba kama vyake vile
FIDEL80
ulichoongea ni kweli bwana mie ni lady ila kuna shost wangu mmoja huwa akienda bar akiona ka glass kazuri anapita nako ingawa Pesonality yake haifananii na kuchukua hivo vitu uwezo wa kuvinunua anao
akienda hotel za kitalii akikuta vile vipambo vizuri anakata kona navyo mbaya zaidi anawaambia haka nilikapitia sehemu
🙂
ndio maana kwenye magesti hausi ya uswazi mashuka na taulo zinagongwa nembo!, kandambili wanachanganya rangi saizi sawa lakini moja kijani nyingine njano!, hahaaaaa, wenye bar nao wabuni mbinu zaidi.
no wonder mnakutana na wadada kama hao.....
FIDEL80
ulichoongea ni kweli bwana mie ni lady ila kuna shost wangu mmoja huwa akienda bar akiona ka glass kazuri anapita nako ingawa Pesonality yake haifananii na kuchukua hivo vitu uwezo wa kuvinunua anao
akienda hotel za kitalii akikuta vile vipambo vizuri anakata kona navyo mbaya zaidi anawaambia haka nilikapitia sehemu
🙂
We nyamayao hujawahi kuingia mitini japo na ka toothpick kwa bahati mbaya?
Hi Kali bora mie ambaye si bebi pima joto, huwa natoka chukuchuku tu, Fidel08 siku nyingine ukiona hivyo mshtue muhudumu mapema, alafu huko ulikomuona huyo shosti kutakuwa ni usawzi bila ubishi.Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na
Chris,
Hatupingi mradi kupinga tu.... ukiona lasemwa ujue lipo.Mimi binafsi niliwahi kuona glass zilizoandikwa TTC ( Tanzania Tourist Corporation) kwa familia moja niliitembelea zamani. Glass hizi zilikuwa zinatumika katika mahoteli ya kitalii kama Bahari Beach, Kunduchi Beach, New Africa, n.k.
Pia niliwahi kusikia mtu mmoja mkubwa tu mwanaume aliwahi kuadhirika baada ya umma, visu na vijiko kudondoka alipokuwa anatoka katika hotel moja maarufu ya kitalii enzi zileeee za mwalimu.Dume hili lilificha cutlery hizo kwenye soksi! Hvyo basi si lazima vifichwe kwenye mapochi ya kina dada/mama bali hata soksi za akina kaka na baba!Vile vile...
Kuna watu huchukua vitu kutoka mahotelini kama mataulo na hata shuka.Niliwahi kushuhudia Mzungu akitolewa nishai kwa kuiba taulo katika hotel moja ya kitalii Arusha.
Wengine huiba vitu kutoka kwenye ndege kama glass za daraja la kwanza, na freshening products ( colognes etc) Hizi ni tofauti na zile toilet bags zinazotolewa kama complimentary kutegemeana na daraja.
Kuna wengine nao wakija nyumbani kwako lazima wanyanyuke na kitu... hii imewahi kunitokea ila siwezi kusema kama ni mwanamke au mwanaume alifanya hivyo.
Kwa kifupi nadhani hizi ni tabia za watu....WAWE WANAWAKE AU WANAUME.
mnazungumzia bahati mbaya au mnazungumzia ni tabia za mtu halic?...tooth/ pocket tissue havikosekani kwenye bag yangu....kwahiyo cjafanyaga bahati mbaya wenye hayo.
Hi Kali bora mie ambaye si bebi pima joto, huwa natoka chukuchuku tu, Fidel08 siku nyingine ukiona hivyo mshtue muhudumu mapema, alafu huko ulikomuona huyo shosti kutakuwa ni usawzi bila ubishi.
Demu wa uswahili toka lini akabeba mkoba aka kipima joto ni nyie wenyewe maduu mnabeba mpaka chupa jamani mnatia aibu kwakweli yaani unakuta mtu analimkoba kubwaaaaa kumbe yupo kazini dah
umesahau hata mahotelini mtu akiondoka anaondoka na towel. unaweza kwenda kwa mtu unakuta towel, paradise resort, peacock hotel, movenpick yana chata, muulize ametoa wapi utashangaa majibu yake,
sasa Fidel anasema mpaka chupa zinawekwa kwenye handbag....wanaenda kufungua groceries?....Fidel kazidisha.
hata chumvi na sukari za mahoteli nazo zinatiwa mikobani.wengine gengeni mpemba akizubaa ,wanakwapua nyanya ,nazi nk.
Nakumbuka nilipokuwa mdogo nilikuwa na ndugu yangu ambaye kila tukienda mnadani lazima aibe vinguo vya mtumba.
Ni tabia ya mtu na malezi aliyolelewa.
Mtoto una makubwa wewe. Hayo maviwanja ulishawahi kuyatinga? Lol!
Kwani mtu kutaja mahali mpaka awe ameshatinga, huwa nasoma vibao tu