Nadhani ni ufinyu wa mawazo tu walionao baadhi ya wanawake. Wengi wao hawataki kujikubali vile walivyo. Nadhani hakuna mwanamke mbaya, isipokuwa ni kujitambua na kujikubali tu! Haijalishi wewe umepigwa pasi au mweusi, believe me kuna mwanaume atakupenda sana tu jamani. Maintain what God gave you! Sipendi kabisa wanawake wanaomkosoa Mungu aliyewaumba!Mwe HEBU MIKUBALI VILE MLIVYO NDO MTAPENDWA ZAIDI OTHERWISE WANAUME TUTAISHIA KUWAMEGA NA KUWAACHA!Katika kujenga familia wanaume hutafuta (mke) na sio (mwanamke).
Presha toka kwa wanaume ni kubwa sana.Ikiwa wanaume wataonesha kua physical apprearance sio hoja
utaona mengi yatapunguka tu.Don't condemn the symptoms, condemn the causes pia.
Presha toka kwa wanaume ni kubwa sana.Ikiwa wanaume wataonesha kua physical apprearance sio hoja
utaona mengi yatapunguka tu.Don't condemn the symptoms, condemn the causes pia.
Umalaya ndo unafanya watu wafanye haya yote.
sidhani kama kuna mwanaume ambaye anakupenda atataka ufanye mambo yote hayo ili aridhike. tatizo wadada wa hivi wanataka kuridhisha kila mwanaume. sipati picha kama nina mtu mmoja ambaye ataniona nikiwa nimevua nguo na akaridhika kwa nini nikatengeneze matiti? hao wengine wote si wanaona matiti yangu nikiwa nimevaa nguo? si ndo maana wakatuwekea bra? kama unaona matiti yako hayana mwonekano mzuri si unanunua bra ambayo itafanya yaonekane vizuri? hata ukitaka kuweka bluetooth on, kuna bra za kufanya hivyo.............. tunajiua wenyewe, tunasingizia wengine. mbona wao hawajitengenezi kwa ajili yetu? au sisi hatutaki wanaume wanaovutia? ninasikitishwa sana na mdada kujibadilisha eti sababu ya mwanaume................... tujiamini jinsi tulivyo, wakaka wapo wa kumwaga, watakuja tu, hawana alternative
Wenye akili wanatafuta wanawake wa ukweli, fake ni kwa kuonja tu!
Katika mazingira haya wanawake wengi bado wanajitambua kwa kupitia macho ya watu.Basi wanawake hatujajengwa vyema kujiamini, one of the causes?
Katika mazingira haya wanawake wengi bado wanajitambua kwa kupitia macho ya watu.
Na pia wanawake wengi hawana mtaji wowote zaidi ya umbo lao.
Bila kua na source inayo tambulika naamini kua low self esteem ni moja ya sababu.
Sababu nyingine ni vigezo wanavyo tumia wanaume katika kuchagua parterns wao.
hivi si tumeumbwa na akili kama hao wanaume? unaweza ukajikita shule mambo yako yakawa mazuri sana badala ya kujikita kutafuta magonjwa ili ujikwamue na maisha. kuna siku nilisikia wadada wakisema ni bora kuishi miaka 20 kwa starehe kuliko kuishi miaka 70 kwa dhiki. na kama ukitumia akili, mikono na miguu yako, utaishije kwa dhiki?Katika mazingira haya wanawake wengi bado wanajitambua kwa kupitia macho ya watu.
Na pia wanawake wengi hawana mtaji wowote zaidi ya umbo lao.
Bila kua na source inayo tambulika naamini kua low self esteem ni moja ya sababu.
Sababu nyingine ni vigezo wanavyo tumia wanaume katika kuchagua parterns wao.
:crazy:
Sasa uchague kuwamega hao??? Si uwamege walio natural???? Mbona una-ji contradict???? Kama unaona wanakosea na huwapendi - ACHA KABISA - sio unamweka NATURAL NDANI - na UNAMEGA ARTIFICIAL - WEWE SI NDIO YULE YULE MMOJA??????? SEMA UKWELI..............UNAWAMEGA KWA VILE UNAWAPENDA!!!!
Presha toka kwa wanaume ni kubwa sana.Ikiwa wanaume wataonesha kua physical apprearance sio hoja
utaona mengi yatapunguka tu.Don't condemn the symptoms, condemn the causes pia.
Umalaya ndo unafanya watu wafanye haya yote.
sidhani kama kuna mwanaume ambaye anakupenda atataka ufanye mambo yote hayo ili aridhike. tatizo wadada wa hivi wanataka kuridhisha kila mwanaume. sipati picha kama nina mtu mmoja ambaye ataniona nikiwa nimevua nguo na akaridhika kwa nini nikatengeneze matiti? hao wengine wote si wanaona matiti yangu nikiwa nimevaa nguo? si ndo maana wakatuwekea bra? kama unaona matiti yako hayana mwonekano mzuri si unanunua bra ambayo itafanya yaonekane vizuri? hata ukitaka kuweka bluetooth on, kuna bra za kufanya hivyo.............. tunajiua wenyewe, tunasingizia wengine. mbona wao hawajitengenezi kwa ajili yetu? au sisi hatutaki wanaume wanaovutia? ninasikitishwa sana na mdada kujibadilisha eti sababu ya mwanaume................... tujiamini jinsi tulivyo, wakaka wapo wa kumwaga, watakuja tu, hawana alternative
Naelewa point yako, na nakubaliana nayo, wala sibishi.hivi si tumeumbwa na akili kama hao wanaume? unaweza ukajikita shule mambo yako yakawa mazuri sana badala ya kujikita kutafuta magonjwa ili ujikwamue na maisha. kuna siku nilisikia wadada wakisema ni bora kuishi miaka 20 kwa starehe kuliko kuishi miaka 70 kwa dhiki. na kama ukitumia akili, mikono na miguu yako, utaishije kwa dhiki?
mimi pia nakuelewa sana, nasema tu tukijiamini tunaweza.Naelewa point yako, na nakubaliana nayo, wala sibishi.
Na pia naamini kua wanawake wengi wangefikiri kama wewe
wangeacha kabisa kujibadilisha kwa kuwavutia/furahisha wanaume
But my preference and yours in this matter does not change the reality
Kwamba wanawake wengi bado wanategemea opinion ya wanaume
before they forge their own opinion about themselves.
If we want to do something we have to work on improving their perception of themselves
and simultanely discourage men from promoting women based on their physical appearance.
Naelewa point yako, na nakubaliana nayo, wala sibishi.
Na pia naamini kua wanawake wengi wangefikiri kama wewe
wangeacha kabisa kujibadilisha kwa kuwavutia/furahisha wanaume
But my preference and yours in this matter does not change the reality
Kwamba wanawake wengi bado wanategemea opinion ya wanaume
before they forge their own opinion about themselves.
If we want to do something we have to work on improving their perception of themselves
and simultanely discourage men from promoting women based on their physical appearance.
Horse power naomba niongezee tu, yako mengi kusema lakini tutafakari zaidi kwa haya:-
Kichwa: Nywele za bandia(Wigi)Kope (zinakwanguliwa na kupakwa wanja)
Mdomo (jino/meno yanatolewa na kuwekwa la fedha au dhahabu)
Kiwiliwili: Matiti (ya bandia; kwa mchina au plastic surgery ili yawe makubwa au madogo)Tumbo (Monalisa belt au mchina kupunguza kitambi)Miguu: Mapaja (mchina ili yawe makubwa)
Kwa heshima (inafanyiwa surgery au kutumia ile miti/mchina ili kumrudisha Bi. Kira)
Makalio (mchina ili yawe makubwa)
Kucha (mchina na mfaransa); si unajua nyingi zilitoka wakati wa kuokota kuni au kucheza ready(rede)? Mi sijasema funza ndiyo wamesababisha.
Mikono: Kucha (mchina na mfaransa)
Sauti: Bandia, kama wazungu lakini siwazungu, kama wakenya lakini wabongo, kama wasauzi lakini wamatumbi; kama teja, huwezi jua huyu ni mdengeleko na huyu ni mngoni. Ipo ya kuwapigia mizinga kwenye simu na kukoromea anapopigwa mtu kibuti.
Mwendo: Utafikiri unachezesha "kalikenya". wengi ndiyo mwendo wao haswa wakivaa suruali ama zile za kubana.
Je!Yote hayo anashinikizwa na mwanaume?