Mimi nadhani nina matatizo maana hata wale wanaojitambulisha kama wadada humu, mfano wewe, Katerelo, Preta, na wengine huwaga nawawaza kimapenzi....yaani huwaga nawavua nguo kabisa!!!
Ahahahahaaaah...................vyeti vya kuzaliwa vinahitajika!Mimi huyu Preta, Nyamayao na Binti Maringo huwa nawatamani kweli kweli kimapenzi. hasa Nyamayao huwa napendaga sana anavyotoa hoja zake nadhani ni aina ya wale masista duu wanaojifanyaga wagumu flani kuwapata. Mwenyewe unajua demu mgumu kumpata alivyo mtamu pale anapoingia kingi!!!
Ila sometimes huwa nawaza isije kuwa tuna-fantasize na maza zetu humu ndani, Mods Bana kama vipi lazimisheni watu kutaja umri wao wa kweli humu ndani:yield:
Mimi huyu Preta, Nyamayao na Binti Maringo huwa nawatamani kweli kweli kimapenzi. hasa Nyamayao huwa napendaga sana anavyotoa hoja zake nadhani ni aina ya wale masista duu wanaojifanyaga wagumu flani kuwapata. Mwenyewe unajua demu mgumu kumpata alivyo mtamu pale anapoingia kingi!!!
Ila sometimes huwa nawaza isije kuwa tuna-fantasize na maza zetu humu ndani, Mods Bana kama vipi lazimisheni watu kutaja umri wao wa kweli humu ndani:yield:
heee.....mbona hiyo iko sana.....hata sisi huwa tunaangalia hivyo hivyo ila kimachale siyo kodokodo kama wanaume
hapo ndipo mtakapo koma....shauri zenu
Mpaka leo au zamani ndio mlikuwa mnaangalia kwa machale? Siku hizi mambo ya Rusia kama kawa!
hapo ndipo mtakapo koma....shauri zenu
Sasa kama ninyi ni maza zetu basi acheni kulalamika kwamba vijana wanapotea kimaadili wakati kumbe na nyie mna-play part kutuharibu... Ila nini bana, mtoto wa mwenzako ni mtu mzima mwenziyo: au siyo Preta?...
Preta unajua uko vere smati sana? Halafu hilo jina lako la Preta nimelipenda kweli hadi natamani mke wangu mtarajiwa awe na jina hilo:smile::smile: Yaani nikipata mke kama wewe sintokuwa kiruka njia naapa:wink:!! Hebu niambie basi nitawapata wapi akina Preta?
..........ulikuwa unasema??.......sorry mambo ya Rusia ni yapi?
kweli sisi wanaume fasta sana. fikiria kuna dada mmoja kwenye sijui ni signature au nini kaandika tengo miedo sijui maana yake lkn hata nikitembea barabarani natamka tu kwa sauti ya wastani TENGO MIEDO. nikimwona dada mzurii huwa nawaza huyu ndo first lady wa jf au preta au maria roza au ndo WOS yaani full kuchanganyikiwa . huyu aliyeandika tengo miedo basi pale kwenye location yake kaandika yupo YAEDA CHINI Arusha basi nna hamu na shauku kufika yaeda chini nipaone dah sisi wanaume km ni ndoto tu mungu katujaalia hahaa
Hii hali inapunguzikaje sasa? Maana kwangu mimi inakuja tu yenyewe (naturally) na wala si kwamba najilazimisha kufikiria hivyo. Yaani tena huyu Preta huyu na vijineno vyake hivyo ndo looooh!!!! Mtu ukimpata utamfaudu sana....khekhekheeeeeee....(just my imagination)
njoo Yaeda
Mimi nadhani nina matatizo maana hata wale wanaojitambulisha kama wadada humu, mfano wewe, Katerelo, Preta, na wengine huwaga nawawaza kimapenzi....yaani huwaga nawavua nguo kabisa!!!