.... Kajambe huko....
Aliyekwambia mwanamke akifikisha miaka 30+ au akizaa hana choices nani? Life is all about happiness. How can you be happy without choosing what you want in life.
Eti umezalishwa nyumbani halafu una masharti magumu. Mkeo ulimkuta na bikira. Mkeo naye si alifunuriwa na kufunikwa, mbona umebeba mzigo bila kujiuliza yote hayo.
Mtoa mada kama ulijaribu mahali na haukufikia vigezo, jipange upya kaongeze elimu, tafuta hela maana ndio mpango mzima. Chipsi kuku sio issue kwa sasa labda kwa wanafunzi.
Wenye 30+ wengi wana maisha yao, ndio maana vigezo na masharti kuzingatiwa. Mtu hawezi kuolewa na yeyote. Dogo nakushauri jipange. Vinginevyo utabweka sana. Povu litakutoka mpaka utapaliwa.

Ahsante! Mimi si mwanaume na hivyo uchaguzi wa a life partner hauwezi kufanana na wako! Wewe unaangalia uvumilivu ili kupata atakaye suit your economy! To me nahitaji a responsible man atakaye provide security including financial stability!
Kwangu Elimu ni kigezo muhimu pia sababu nitaishi na mtu mwenye upeo wa mambo unaolingana! Isitoshe education inaongeza skills, and when skill is put to work, it creates wealthy, where there was poverty.
Sasa siwezi kuolewa tu na mwanaume yeyote tu ili kutimiza ndoto za mashabiki wa pembeni ambao hawataishi ndani ya ndoa na mimi! Sorry kama nimekukwaza!
mmmmh! Mbona povu bibie halafu mm sio dogo. Hapo lazma jiwe limetua utosini......... Punguza Munkari mkuu kama hela niliitafuta na bado naitafuta......... Hata mm staki waliokata ring
so unataka wawe zoa zoa yeyote twende kisa age inasoma 30 mmmmh hapana hata wakiwa wanafunuliwa papuchi ni yao au yako??? kikukeracho kipi mmengekuwa pacha mlioungana nisingeshangaa otherwise umevurugwa somewhere
du! hivi maisha ni kuolewa? usipoolewa hauishi???
mmezidi kuwasema dada zetu jaman! yani kila leo ni mada kuhusu wadada wenye 30 halafu hawajaolewa! sio vizuri jaman huwezi kujua mtu kapitia changamoto gani had hajaolewa, na watu wengne wameolewa lakini maisha yao ni magumu maelezo hakuna wakati kuna wengine hawajaolewa lakini wanaendesha maisha yao vizuri! kuolewa sio kwamba ndio ndoto zako zimetimia au zitatimia.
dah! Kuna baadhi wanamashart hao mpaka unajiliza huyu mwili wake wa dhahabu?
Mmmmmh
sipendi thread za aina hiii!
Kwann uko sooo negativr towards women?
Walikukosea nini?
Acha kutumia maisha yako kama kioo cha maisha ya wengine!
Aliyekwambia wanaolewa kwa uzuri wa sura nan?
Aliyekwambia wanaoolewaa wote ni wacha Mungu nani?

Bila ndoa hakuna heshima.
Nani kakudanganya hivyo? Mbona kina mama wengi wameolewa hawaheshimiki?
mmmmh! Mbona povu bibie halafu mm sio dogo. Hapo lazma jiwe limetua utosini......... Punguza Munkari mkuu kama hela niliitafuta na bado naitafuta......... Hata mm staki waliokata ring
Usipoolewa bado utaendelea kuishi, lakini itakuwa na maana ya kwamba wewe ni mzinifu mzuri sana na hautaaminika sehemu nyingi sana kutokana na tabia yako ya uzinzi.