Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,172
Habari za asubuhi wana MMU. Nimeona nitoe darasa kidogo kwa baadhi ya akina dada wanaopenda vya mteremko. Ni hivi; kuna wadada(baadhi ila ni wengi wao) wanapenda kuombaomba pesa kwa watu wasiowafahamu vizuri!
Unakuta anafanya kama anatania kumbe ndio hivyo tena. Hii huwa inanitokea sana, huwa nashangaa mtu sina ukaribu nae wowote anakuja kuniambia nimpe hela akale chips wakati mimi mwenyewe napiga miayo tu, huwa najiuliza hivi hawajui kuwa wengi wetu pesa ni tatizo?
Acheni hiyo tabia.