Akina dada mjiangalie mnaboa sana

Akina dada mjiangalie mnaboa sana

wengine hatupendi sidiria zinatubanaa..
 
Kwa mnunuzi unagundua kuwa ile ni bidhaa ipo sokoni, kwa mtu kama wewe unaona mazingaombwe tu
 
Akili zao huwa zinaongozwa na wanaume sasa wakikutana na mwanaume ambaye naye akili fyatu akatokea kumsifia akiwa amevaa hivyo basi kesho atazidisha kuwa uchi zaidi
 
c74e2414dc42fd43164ae381214e5c4c.jpg
Jina haliendan na pic ulotuma heb heshim hilo jina
 
Back
Top Bottom