Akina dada kwanini mnavunga huku manataka??????

Akina dada kwanini mnavunga huku manataka??????

:car::car::car::car::car::car::car::car:

Hubby acha na Uporoto anaona wivu kisa umepata na yeye alikosa hat abaada ya kusota sana!!!
Naomba ubadilishe njia uje nilipo mimi!!!!Me luv you so much darling!!!:hug::mwaaah:
 
Hubby acha na Uporoto anaona wivu kisa umepata na yeye alikosa hat abaada ya kusota sana!!!
Naomba ubadilishe njia uje nilipo mimi!!!!Me luv you so much darling!!!:hug::mwaaah:
Hahaha! mbona hutaki akaone kule lol!
 
Hahaha! mbona hutaki akaone kule lol!

Jamani kwasababu tu mtu kampigia kura au kamtetea fulani haina maana wanamilikiana!!
Nwyz baba mchungaji simkani maana we go way back ila ndo hivyo Sipiyu is in the house now....we ulie
tu ila plzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz acha kuchakachua mapenzi yetu!!!
 
Elia big up sanaaaaaa!!!

mwanamke si maharage ya mbeya maji mara moja!!

Tena si jamvi la wageni!!

hasaaaa ukijitambua ww ninani!!

Umesahau wengine wanasema Mama Huruma.

Haya kina dada kazi kwenu kuringishia kidogo. ila msizidishe vijana wa siku hizi si wavumilivu kabisa.
 
Mdada namsapoti sana, na inaonyesha hukuwa unampenda, ulikuwa unataka kukidhi haja zako za muda, hivi mtu unayempenda kweli unaweza kuacha kumfuatilia kirahisi hivyo! we hukupenda wala nini..
 
vyote sawa tu....kama mtu anakuchukulia malaya hata uki-play hard to get atakufikiria hivyo na intention haibadilishwi kwa ku-play hard to get....kama mwanaume anakupenda itabaki kuwa anakupenda na kama alikuwa anataka ku-hit and run hata after two years atafanya hivyo......!!

Nafikiri ni vizuri mwanamke akawa wazi kuwa nahitaji muda kukufahamu na kuamua kama niwe na wewe au lah....lakini kudanganya kuwa una wako,sijui nini then unaanza kulalamika yule mwanaume anapokuwa amekata mahusiano ni aina fulani ya wendawazimu....thats not playing hard to get....may be tanzanian way.....ni kujidanganya mwenyewe!!!:washing:

Umejenga hoja nzito nimeipenda
 
Mdada namsapoti sana, na inaonyesha hukuwa unampenda, ulikuwa unataka kukidhi haja zako za muda, hivi mtu unayempenda kweli unaweza kuacha kumfuatilia kirahisi hivyo! we hukupenda wala nini..

Sasa huyo mdada si alisema anawake tayari, jamaa alikuwa sahihi kuacha
 
Mwanamke pozi, kuringa kidogo inaongeza hamasa kwa mwanaume. Ila maringo yakizidi inakuwa kero.
 
Sasa huyo mdada si alisema anawake tayari, jamaa alikuwa sahihi kuacha

Hizo ni pozi za kike kaka, ingawa most of the times huwa inakuwa kweli ana mtu, unajua sio kila mtu aliyeko kwenye mahusiano anaenjoy sasa ule msisitizo wako ndio unafanya aanze kuwapima kwenye mizani, we mwenzio hata hajamaliza kupima unammwaga sio vizuri hata kidogo
 
huyo dada hajasoma mambo ya takwimu na sensa halisi idadi kubwa ni ipi wanamume au wanawake....angelijua hilo angelichukua chake mapema...na pia kakupunguzia matumizi now you take kiulaini.

nawapenda wanaosumbua maaana siku ya kukubali unapata ashki ambazo ni original na sio mchina...una bahati mimi kwangu haijawahi kutokea.
 
wewe ulifikiri kumpata mwanamke ni simple like abc, mwache aringe na sidhani kama alikuwa anaavunga, katika hali halisi huwezi ukamparamia mtu usiyemjua kichwa wala miguu.
 
huyo dada hajasoma mambo ya takwimu na sensa halisi idadi kubwa ni ipi wanamume au wanawake....angelijua hilo angelichukua chake mapema...na pia kakupunguzia matumizi now you take kiulaini.

nawapenda wanaosumbua maaana siku ya kukubali unapata ashki ambazo ni original na sio mchina...una bahati mimi kwangu haijawahi kutokea.

unataka kutuambia kuwa wewe ni kinara sana, ukiwabipu tu washakukubali
kama kweli chata unazokutana nazo nina wasiwasi nazo. any way hongera kwa vile hawakusumbui, na pole kwa kuwa wanaokukubali ni mareject
 
duuh! Mimi ninafikir mlikutana wote MAPLAYER wakat unamfuata alikuwepo na mwngne alikuwa anamuudumia wewe ulikuwa misscall wakat wewe ulikuwa huna na wakat wewe umepata mwngne hv sasa yeye alishamtosa yule mwngne so kaz kwako kama vp kula mzgo kunja kona

usawa huu utakula mzigo wa nani alafu ule kona? watu wenye washakuwa wajanja, jaribu uone utakavyokugandwa ka gundi ndo utashika adabu yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom