Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Hajafanya vizuri huyo manzi, lakini kama mtoto wa kiume usicomplain kihivyo. Inaonyesha hata angemaliza ungekuja kulalamika anakula vibaya, ngendembwe namna hii zipo, just learn to chill.
 
Ulikutana na sister duu anaekula na kuacha akifika kwao anajutia
 
Kwan kama angekimaliza ungefaidikaje?? ukitoa umetoa usitizame matumiz yake utaumia!!
 
Mkuu only 20 ndo umemind hivyo,always mwanaume lazima a risk,kitu kinafikaga hadi 100k for one night bia na msosi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…