fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,498
- 27,813
Kuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende
Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu
Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza chakula changu simple tu
Baada ya kumaliza kula bill iliyokuja ni elf 28, Sasa cha kushangaza ,pamoja na chakula kile chote alichoagiza huyo mdada hata robo hakula, amedonoa donoa,amekiacha kipo vile vile,kinywaji amepiga pafu moja tu
Nimelipa ila shingo upande,hiyo hela imeniuma sana,nawaza nirudi pale hotelin niwambie nitunzie hicho chakula jioni nakuja kukichukua,
Na kwa nini nyie akina dada uaigeze chakula ambacho huwez kula ukamaliza? Au hajui hela ni ngumu kuipata?
Sasa tutaogopa kuwatoa lunch
Hahaaaa ,mkuu nimecheka sanaMkuu hao huwa wanazuga tu,ukimfuma peke yake unakuta anakula ugali mkubwa balaa,mtoto haruki!
Hahaha,ndio hivyo mkuu baadhi ya dada zetu hawa,wasanii sana!Hahaaaa ,mkuu nimecheka sana
Mimi nikishiba naomba nifungiwe kilichobaki aisee sitaki masihara kbs ,pesa ya mtu hyo katumia aarghHahaha,ndio hivyo mkuu baadhi ya dada zetu hawa,wasanii sana!
Ni wachache saana wenye ujasiri huo kama wewe,ni bora kama anajiona yupo full siyo lazima ale kuliko kuchezea chakula!Mimi nikishiba naomba nifungiwe kilichobaki aisee sitaki masihara kbs ,pesa ya mtu hyo katumia aargh
Haaaaaaaah! Nimecheka make ilinitokea jana ila halikula na kumalizaKuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende
Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu
Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza chakula changu simple tu
Baada ya kumaliza kula bill iliyokuja ni elf 28, Sasa cha kushangaza ,pamoja na chakula kile chote alichoagiza huyo mdada hata robo hakula, amedonoa donoa,amekiacha kipo vile vile,kinywaji amepiga pafu moja tu
Nimelipa ila shingo upande,hiyo hela imeniuma sana,nawaza nirudi pale hotelin niwambie nitunzie hicho chakula jioni nakuja kukichukua,
Na kwa nini nyie akina dada uaigeze chakula ambacho huwez kula ukamaliza? Au hajui hela ni ngumu kuipata?
Sasa tutaogopa kuwatoa lunch
Wachache sana wa aina kama yakoSijawai kununuliwa msosi na mwanaume yoyote Mimi napenda jiko sana yaani.nakunywaga maji tu
Wengine wanahisi kuagiza chakula na kula kidogo ukaacha ndyo usista du, utaonekana wa kishua , hawajui tu waliokilipia hicho chakula wanavyofeel, hahaaa kama huyu mleta mada.Ni wachache saana wenye ujasiri huo kama wewe,ni bora kama anajiona yupo full siyo lazima ale kuliko kuchezea chakula!
DuhUmenikumbusha mmoja miaka hy yeye kaagiza mazagazaga kibao alafu akadonoa hapo kidogo tuu, mi nilivyomaliza kula nkashangaa mtu kaitisha mfuko wa rambo kavimwagia huko vyote, sikumuuliza chochote ila ndio ilikua mwisho wa mahusiano yetu yaliyokua ya mda mfupi.
Serious kweli miss nafind,unaonekana uko vizuri sana kwenye mambo ya jiko..nikaribishe siku nionje mambo yakoNdio Mkuu karibu sili hotelini mie