Akina Dada huu sio ungwana kabisa

Pole sana... hayo mambo mbona kawaida sana...

Dating siyo swala la mwanamke kumaliza au kubakisha chakula, ni vile mwanaume utakavyokua unaji present mbele yake...

Ukiwa vizuri mbona chakula anamaliza na anaagiza na kingine ili mradi msiondoke mapema muendelee kuwepo...


Cc: mahondaw
 
"Urudi hotelini uwaambie wakutunzie utakuja kuchukua" vijana tafuteni maisha, pesa zenu muwe na uchungu nazo, hawa viumbe hawana huruma na pesa zenu wao wanawakomoa tu, pole sana, acheni kutafuta wadada wa maigizo, tafuta mtu simple asiye na makuu awe mchumba wako
 
Sasa cha ajabu yeye ndo kasema", asant kwa chakula,naomba tuondoke nikafanye mambo mengine"
 
Kwa nini hukumwambia amalize chakula? Hajui chakula ni Pesa na Pesa ni Chakula??
 
Kwa nini hukumwambia amalize chakula? Hajui chakula ni Pesa na Pesa ni Chakula??
Nimemwambia mbona chakula kipo vile vile akasema nimeshiba bwana,nikaishiwa pozi
 
Sasa cha ajabu yeye ndo kasema", asant kwa chakula,naomba tuondoke nikafanye mambo mengine"

Labda kaona unamletea kiwingu... Date haina mvuto... ndiyo maana kaaga hivyo...

Navyojua mimi, Date kama imeenda vizuri mwanamke swali linalofuata ni baada ya tunaenda wapi...


Cc: mahondaw
 
Ulimwambia huyo dada lkn?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…