Kuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende
Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu
Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza chakula changu simple tu
Baada ya kumaliza kula bill iliyokuja ni elf 28, Sasa cha kushangaza ,pamoja na chakula kile chote alichoagiza huyo mdada hata robo hakula, amedonoa donoa,amekiacha kipo vile vile,kinywaji amepiga pafu moja tu
Nimelipa ila shingo upande,hiyo hela imeniuma sana,nawaza nirudi pale hotelin niwambie nitunzie hicho chakula jioni nakuja kukichukua,
Na kwa nini nyie akina dada uaigeze chakula ambacho huwez kula ukamaliza? Au hajui hela ni ngumu kuipata?
Sasa tutaogopa kuwatoa lunch