Akina dada huu si uungwana

aaaarrgghh, yani vitu vyote vimeondoka,alidhamiria kwelikweli. Mkuu inavyoonekana na wewe ungekuwepo angekuiba akupeleke kwao.:angry:
 
Tabia za wanawake wakorofi via wanahulka za umalaya via uswahilini
Pole mkuu usikute mpaka tambala la deki kachukua ndo zao ili umuone yy noma aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…