Akina dada huu si uungwana

Ukiona hivyo ujue huyo mlikuwa bado hamjaoana.
 
Hahaha. Sasa si ndio alichovuna kwako? Kabeba masufuria na vijiko?
 
Pole.Ukute ulikuwa unamnyanyasa navyo kwa kumsimanga wakati mnagombana akaamua kukukomesha.
 


Ulioa kibaka mkuu...
 
bora huyo wengine wanakutoa roho kabisa ili wabaki na mali
 
Haaa haaa haaa haaa.... nimecheka sana. Maana na mimi yamenikuta kwa MUHA. Ni hatare..... alikuwa ana ng'ang'ania hadi vifaa vya ofisi kama computer, Camera na decorder nilizokuwa nafanyia kazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…