Akina Dada hii inawahusu...

vinatudanganya kiajeee? Sema matumizi ni tofauti nyie mnaangalia kichwa kama nywele ziko fiti sie twaangalia mwili mzima kama tumetokelezeaaa

lakin pamoja na kujiangalia bado hamridhiki mnataka mpaka msifiwe na mwanaume ndio mnaona raaaaaaha mnachekeleaaaaa................. Hamjui kuwa njemba inataka kuloweka tu na kusepa kumbe sifa zote ni za uwongo hamna lolote!
 
....mi nilikuta msg hii "ukija utafikia hotel gani my? na je utaniunganisha na whats up mpnz?

kwanza nilifreez...maamuzi niliyoyafanya ni siri yangu kwakua huwa sina tabia ya kudought uamuzi wangu!

Kumuamin mwanamke ni sawa na kuchambulia mchele gizan
 
Mpaka unaandika hii thread manake huyo mwanamke kakutetemesha na kukusumbua sana na akili zote ulizokuwa nazo! Pole ndugu yangu!
 
Ndio maana wanawake warembo sana wengi (sio wote) hawaolewi, wakiolewa hawadumu kwenye ndoa
 
Mpaka unaandika hii thread manake huyo mwanamke kakutetemesha na kukusumbua sana na akili zote ulizokuwa nazo! Pole ndugu yangu!

Wala hanisumbuii kichwaaa
 

Dogo umepatwa na nini? Japo sisi wanaume ndiyo mabingwa wa kucheza na mioyo ya wadada. Jiulize uliisha chezea mioyo ya wadada wangapi ?
 
Nkuhanchere bhuseri... Dogo kalizwa tayari lolest!!!

Jamani nimekumiss sana charming... !

enjoy enjoy basi haka ka wimbo!

personally.. pasono personally... i like you buddy.. i see you what you do when intentionally!!

 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…