Akina dada chonde leo tusikomoane tafadhali

Akina dada chonde leo tusikomoane tafadhali

Si umweleze tu ukweli kwamba hali si hali kwanini ungoje hadi mkatiane aibu bar
Hali sio mbaya kiivyo, lakini sazingine mtu anafanya kama hakuna kesho it's too much.
 
Kama umemuita yeye peke yake halafu kakuletea kamati alipe mwenyewe,una chelea nini kumwambia ukweli?..
 
Ukiita mmoja wamekuja wawili au watatu. We aga unaenda washroom halafu kula kona
 
Next kuwa muwazi tu eleza uwezo wa kifedha uliyonayo usijitie pedeshee wakati huna uwezo huwo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom