Akina Dada Acheni Tabia hii tafadhali....

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,149
22,724
Tabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi wako kazini,,,..mara Oooohhh...bosi kanialika ktk b day ya wife wake, Leo Bosi kanipongeza kwa uchapa kazi wangu, etc etc.. waleta visifa vya ajbu ajabu vya bosi wako kwa mpenzio... Please Stop.. Waerevu wamenielewa
 
Tunaambiwa kua wanawake katika relationships ni walalamishi na sio wavumilivu....

But leo this week... let leo alone wanaume wametuma threads zaidi kuhusu

wanawake... I wonder kama the cap imehama?? Data hebu nisaidie...
 
so kinachokuuma ni boss kusifiwa au?
ila kwa jinsi fulani kuna ka ukweli endapo dem mwenyewe is my mum sup, this will be sign of kujaribiwa kwa nitareact vp?
 
hata nyie mnakuwaga na hizo.....ni basi tu huwa tunawapotezea....
 
Tabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi wako kazini,,,..mara Oooohhh...bosi kanialika ktk b day ya wife wake, Leo Bosi kanipongeza kwa uchapa kazi wangu, etc etc.. waleta visifa vya ajbu ajabu vya bosi wako kwa mpenzio... Please Stop.. Waerevu wamenielewa
Pole mkuu kwa yaliokukuta
 
Tunaambiwa kua wanawake katika relationships ni walalamishi na sio wavumilivu....

But leo this week... let leo alone wanaume wametuma threads zaidi kuhusu

wanawake... I wonder kama the cap imehama?? Data hebu nisaidie...

Wajua nin AD.. wadada sikuhizi vigeugeu mnoooooo... hamshkiki
 
aisifuye mvua......lol

but wewe si mwanaume?unashindwa nini kumpiga marufuku kumtaja bossi wake ukiwepo?

unasema tu,kuanzia leo.stori za bossi wako sitaki humu ndani

labda lengo lake ni wewe uone wivu,ukinyamaza atazidi...
 
Ni kweli mwana hicho kijitabia kinaboa sana maana waweza kuwa na stress zako kichwani ukaamua kuchukua muda ili upumzike na mwandani wako angalau akupunguziea stress kama si kuzitoa kabisa lakini mwisho wake unakutana na maudhi mengine kama hayo! Inakera sana!
 
Utoto(a childish remark), soma JF RULES. Mpigie simu, huyo aliyekusaliti, mambo yenu ya internal affairs hayatuhusu.
 
Wivu ukizidi hata siku akimsifia houseboy wenu kwamba ni mchapakazi na mwepesi wa kuelewa maelekezo inaweza kuwa shida. Kam kupigiwa, unaweza kupigiwa bila hata ya huyo bosi kutajwa mara kwa mara.
 
Nashukuru kwa uwezo wako wa kufikiri.. na uwerevu!
 
Ha ha haaa
kuna ile anasifiwa eti
Ni handsome,
mkarimu (sio mkono wa birika)
ananipenda
 
Tabia ya wewe unapokua faragha na mwenzi wako.. either mmepumzika chumbani....mmetoka out. may be fo lunch... au matembezi tu ya kawaida.. Alafu wewe watumia muda huo kuanza leta habari za Bosi wako kazini,,,..mara Oooohhh...bosi kanialika ktk b day ya wife wake, Leo Bosi kanipongeza kwa uchapa kazi wangu, etc etc.. waleta visifa vya ajbu ajabu vya bosi wako kwa mpenzio... Please Stop.. Waerevu wamenielewa

"Kwanini wewe mpenzi wangu huwa hunisifii na badala yake nazipata tu hizi sifa kutoka nje??" Nadhani hili ndo swali ambalo huwa anatumia indirect way kukuuliza! Sasa kazi kwako kusoma alama za nyakati coz sio kila kitu kinalenga kukuumiza!
 
Wajua nin AD.. wadada sikuhizi vigeugeu mnoooooo... hamshkiki

Zile enzi za kung'ata vidole zimeisha, siku hizi ni face to face! Kila neno unaloongea lazima liwe considered, no mere representation of an opinion can work!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom