Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,599
Kale kadada ambako kaliniboa nilikakimbia baada ya kunipiga mzinga wa hela ya saluni mara baada ya kukatoa lunch, eti kanaanza kutaka nikutane nako tena!
Kanaanza hivi....
Samahani kaka, unajua siku ile nilivyokuambia kuhusu hela ya saluni ulinielewa vibaya, najisikia vibaya sana maana naona umenichunia kabisa. nikipiga simu hupokei na hata ukipokea unaongea kidogo na kunikatia simu. naomba unisamehe kama nilikukosea, sahau yaliyopita tuimarishe mahusiano yetu. unajua siku ile tulipokutanamara ya kwanza na uliponitoa lunch nilifurahi sana ingawa wewe ghafla umeamua kunichunia.
Naomba upange tena tukutane kama ukipenda tupeane raha.
Mytake!
Haka kademu kameandika meseji ndeefu mpaka ikaandika ......some text missing..... sasa sijui mimi nikaonee huruma niendelee nako au ndio kananivutia kasi ili one day kanilipue vizuri?