Akililia wembe mpe

Akililia wembe mpe

KOROBOI

Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
10
Reaction score
5
Najiuliza hivi nani jeuri kati ya pesa na sisi masikini nakusaka kila siku unaniambia hupatikani,
nauza mwili unakuja kidogo.........n.k
 
Piga hodi wewe mtoto... Unaingia mara unaanza kujaza server kwa craps..... Una maana gani kwa hii uliyopost......
 
Simwelewi?. Au huku jf wanakuja watu waliowehuka?
 
unauza hadi mwili???................huh,hbu nipe ripoti za kona bar kuna mali mpya?
 
Huyu jama ni KOROBOI, labda ameishiwa mafuta amezimika ndiyo maana haeleweki.
 
Kumbe kiza kimetanda kaja koroboi kilaa mtu anachonga
 
Huyu jama ni KOROBOI, labda ameishiwa mafuta amezimika ndiyo maana haeleweki.
kumbe tupo wengi yani pamoja na uchache wa hayo maneno lkn nimerudia kusoma kama mara sita ila hakuna ninachoelewa
 
Msimshangae. Pengine bangi zinamchengua. Teh teh teh.
 
Back
Top Bottom