Akiliii au matopee!!!!!???

Akiliii au matopee!!!!!???

weye??? Nenda ukasikiliza reggae nimekuwekea uringe kidogo leo.

kweli aende huko kwenye
index.jpg
 
Pale juu ni wapi?

Size 15mm ndo itakayofaa kwa baiskeli. Na hiyo sina.

Umechanganya kidogo
mm15 ya pikipiki tena zile honda 110 mara nyingi STJ/K
mm14 na 7mm ndio zinafaa, halafu si umesema hiyo ni adjustable?
 
Umechanganya kidogo
mm15 ya pikipiki tena zile honda 110 mara nyingi STJ/K
mm14 na 7mm ndio zinafaa, halafu si umesema hiyo ni adjustable?
Hii sio adjustable.

Kwa Honda utahitaji ring spanner ya 10mm, wala sio C-Spanner kama hii yangu.
 
Back
Top Bottom