Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Ulisoma alichokuwa anaandika au unaandika tu! Sio muda wa ubishi periodAmezungumzia kutembea nusu uchi, ila sishangai nyie kutetea ujinga maana hata duka ili liuze lazima mlango uwe nusu, dirisha liwe wazi tuone bidhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hii mind set yako na wewe tutamega tupite aisee....ladies lazima uwe wa heshima ukitembeza manyonyo nje nje unapigwa ndogo tu afu watu wanalala mbeleSo una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period
Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Kama nitakuwa siajelewa vizuri basi ila mtoa uzi amesema anayejisitiri ataolewa na mtu aliye sirias na ndoa na anyeacha nyonyo na makalio nusu uchi anaweza asiolewe au ataolewa na mwanaume ambaye hayuko sirias na ndoa.So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period
Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Nani kakuambia mimi natembea manyonyo nje!!! Jidanganye hivo hivoKwa hii mind set yako na wewe tutamega tupite aisee....ladies lazima uwe wa heshima ukitembeza manyonyo nje nje unapigwa ndogo tu afu watu wanalala mbele
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo ni mawazo yake yeyeKama nitakuwa siajelewa vizuri basi ila mtoa uzi amesema anayejisitiri ataolewa na mtu aliye sirias na ndoa na anyeacha nyonyo na makalio nusu uchi anaweza asiolewe au ataolewa na mwanaume ambaye hayuko sirias na ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok naamini wewe unajistili basi waambie na wenzio,women shall respectable....nyie watu muhimu sana na role yenu kwa jamii ni kubwa, lazima mkuwe na high moral characterNani kakuambia mimi natembea manyonyo nje!!! Jidanganye hivo hivo
Hayo ni maamuzi ya mtu uwa sipendi kuingilia uhuru wa mtu especially kwenye mavaziOk naamini wewe unajistili basi waambie na wenzio,women shall respectable....nyie watu muhimu sana na role yenu kwa jamii ni kubwa, lazima mkuwe na high moral character
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo sijui
Inamaana kuboost manyonyo nalo ni vazi mtaliwa na kutupwaSo una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period
Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Naona hamjanielewa.....tuishie hapa
Hahahahaa mkuu mbona povu zito sana kwa dada zetu.Mwanaume akikusifia kwa kutembea nyonyo nje, nyie mnaita boobs na makalio yakishika nguo uliyovaa ukisema unaenda na wakati huwa na nia moja tu, kukumega, kukuchapa, na kukushikisha adabu kitandani, na sifa zitaishia hapo.
Hakuna mwanaume siriaz anayeweza kukubali kuoa mwanamke asiye siriaz. Mwanamke anayeweza kuacha nje mali ambazo ni fahari ya mumewe zionwe na kila mwanaume. Nionyeshe mwanamke mwenye tabia hizi za hovyo aliyeolewa na mwanaume serious.
Wanaume sio wajinga kama wanavyoonekana usoni. Mpaka akupe pete yake lazima awe na uhakika level ya ujinga kwenye akili yako ni ziro maana anaoa kiongozi wa familia na sio muuza mwili.
Shkamooni wote mnao-boost nyonyo na kubana kalio, kumegwa na kuachwa kwako ni guarantee. Hatuoi ujinga!
Sent using jamii forums mobile app
Tatizo nyie kwa kuvaa hivyo mnaamsha tamaa ya ngono na si vinginevyo.Mi nakubaliana na ulichosema kabisa,lakini jamani hizi za mada za wanawake mbona zimekuwa nyingi sana!? Utadhani duniani wanaishi pekee yao,siku moja moja jamani tupeni break tupumue!
Wewe utakuwa miongoni mwao, lazima msemwe nyie ndio kioo cha jamii sasa mnatembeaje nusu uchi mbele za watoto kabisa mnajiachia eti kwenda na wakati oneni aibu basi.So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period
Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol