Good Father
JF-Expert Member
- Feb 28, 2014
- 10,320
- 18,595
Yafungulie Uzi mkuuHivi hakuna vingine mtakavyoandika zaidi ya kukashifu jinsia KE?
Ninyi mbona mna mapungufu mnoo lakini?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna age ambayo ukifika lazima ujibehav km mwanamke mwenye akili nakm mwanamke mwenye akili.So una ushauri gani? Au wavae magunia......wanaume wengine bhana mnashangaza sana kwani umeambiwa mavazi ndo tabia ya mtu......kila mtu anavaa kile anachokipenda period
Kuna rafiki yangu ni mpole,mstaarabu,anavaa kiheshima sijawahi ona ila mpaka leo hajaolewa na kaishia kuzalishwa.....kama ndoa ipo ipo tu haina haja ya kupretend kuvaa kiheshima kisa uolewe lol
Mimi naamini mavazi hayamfanyi mtu aolewe.......nashukuru Mungu my boy ni muelewa sanaKuna age ambayo ukifika lazima ujibehav km mwanamke mwenye akili nakm mwanamke mwenye akili.
Wewe nimwanamke aged 24-28 hii ni age ambayo bila shaka unatafuta kuolewa ,alafu unakuta mtu maziwa nje ,,mapaja nje ?? Are you serious na unachokitaka ?????? This is the shame.....
Fanya hayo ukiwa huamin ktk ndoa nakm unaamin uwe unaamini kuolewa nibahat so uolewe au usiolewe wewe haikuathiri kitu.
Nisawa namwanamme ambaye anataka kua baba bora yupo 27-33 alafu naye bado anavaa chini ya matako ,,eleni sikion.
Hapa msichanganye maisha ya usanii ambayo huwa wao nikuzaaaa tu bila ndoa .nakm nindoa huoana wao Kwa wao .
Kinyume nahapo wewe mwanamme na mwanamke mnaoenda na ujana mtaishia kusikia mume na mke .
Kuna wakati ukifika nilazima uachane na ujana .
Hivi huwa mnakashifiwa au mnasemwa jinsi mlivyo???Hivi hakuna vingine mtakavyoandika zaidi ya kukashifu jinsia KE?
Ninyi mbona mna mapungufu mnoo lakini?!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Well mavazi hayamfanyi mtu kuolewa ila believe me ile first expression yako ktk jamii ukiwa umevaa nusu uchi huwa ni moja tu "" huyu mwanamke nimuhuni "" hainaga eti sijui kuangalia tabia zake .Mimi naamini mavazi hayamfanyi mtu aolewe.......nashukuru Mungu my boy ni muelewa sana
I can assure you, huyo Boy, utakua wewe ndie unamtawala kimaamuzi.Mimi naamini mavazi hayamfanyi mtu aolewe.......nashukuru Mungu my boy ni muelewa sana
yapI can assure you, huyo Boy, utakua wewe ndie unamtawala kimaamuzi.
Hajasimama kwenye nafasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah is my boy and soon atakuwa husband......sitetei kuvaa hizo nguo ila nachoamini mwanaume anayempenda mtu wake kiukweli hawezi kuangalia mavazi bali ataangalia tabia ya mtu wakeWell mavazi hayamfanyi mtu kuolewa ila believe me ile first expression yako ktk jamii ukiwa umevaa nusu uchi huwa ni moja tu "" huyu mwanamke nimuhuni "" hainaga eti sijui kuangalia tabia zake .
Personality humuelezea mtu sana,, and yes Is ur "boy" not a "husband" kwaiyo bado kuna njia yakwenda .
Mie nikuakikishie sisi wanaume huwa tukioa tunagemea jamii ikusifu kwakumpata mwanamke safi namwenye hadhi ,,huwa hatupendi kumuelezea mwanamke ktk jamii isipokua yeye anajielezeaje ktk jamii .
Sasa kwasababu he is a "boy" mie nakupa hongera maana maboy wengi huwa hawajali sana jamii inasemaje wao huwa wanataka hii """ Daaah dem wako anamapaja balaaa"" ,,,"daashhh mtoto wako kafungasha "" daaahh dem wako kifuani anakimbiza " daaaahhhh mwanangu unafaidi "" daaahhhh mwanangu unakula minofu ya kiti moto baba "" .
Ila Kwa mwanamme yeye huwa anataka hii """ Aisee umejaaliwa kupata mwanamke anayejitambua "
Uwa napenda sana kuwa free hasa kwenye mavazi na sio kwamba navaa nguo fupi sana NO sema yeye hana tatizo na nguo ninazovaa and yupo comfortable na mimi sana........I can assure you, huyo Boy, utakua wewe ndie unamtawala kimaamuzi.
Hajasimama kwenye nafasi yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubishi autakusaidia dada yetu na wala amna atae kulazimisha usivae hayo mavazi yenu ya uchi ila duniaani kote unapo kutana na mtu kwa mara ya kwanza unaanza kumjaji na kumjua kwa kuanzia kuangalia muonekano kwa maana ya mavazi kisha kupitia maneno yake sasa ukilazimisha mavazi sio tabia ueleweki we vaa tu ivyo vivazi vyenu ila wenye akili wakikuona wanakuweka kundi unalo stahili kuwekwa,nakama unavyo sema boy wako anakusifia aina shida kwani hata wale malaya pale kona baa wanao kaa uchi uchi si wapo wanao wasifia kusifia sio issue ila pima unasifiwa nini?Yah is my boy and soon atakuwa husband......sitetei kuvaa hizo nguo ila nachoamini mwanaume anayempenda mtu wake kiukweli hawezi kuangalia mavazi bali ataangalia tabia ya mtu wake
Mavazi ni part and parcel.Yah is my boy and soon atakuwa husband......sitetei kuvaa hizo nguo ila nachoamini mwanaume anayempenda mtu wake kiukweli hawezi kuangalia mavazi bali ataangalia tabia ya mtu wake
umemaliza mkuu,kama ni wakuelewa ataelewa ila kama kichwa maji ataelewa uzeeni akisha kuwa na watoto na yeyeMavazi ni part and parcel.
Mavazi ndio sebuleni mtunaingiapo nyumbani unaanza kuiona.
Mavazi yapo reception.
Mavazi yanakueleza wewe ni nani hata kabla hujajieleza kwa maneno yako.
Mavazi yanakuelezea nini unawaza na unataka vile watu wakuchukulie?
Mfano. Malaya anajua atavaa nini ili wateja wampate kirahisi.
Jinsi unavyovaa ndivyo ulivyo..
Tabia zote zinajadiliwa pale zinapokua hadharani. Ila ukizisitiri hakuna atakae ku judge tabia yako kama mavazi yamfanyavyo mtu.
Ni kweli tunao marafiki zetu wakiume baadhi huku mitaani tunawahurumia kwa aina ya wanawake waliowachukua ambapo wanawake zao ni wanavaa kama makahaba.
Toka nje ya Box ujue wanaume wengi tunawazA nini.
Ukijiheshimu utaheshimika and viceversa is true.
Sent using Jamii Forums mobile app
NOTE:Ubishi autakusaidia dada yetu na wala amna atae kulazimisha usivae hayo mavazi yenu ya uchi ila duniaani kote unapo kutana na mtu kwa mara ya kwanza unaanza kumjaji na kumjua kwa kuanzia kuangalia muonekano kwa maana ya mavazi kisha kupitia maneno yake sasa ukilazimisha mavazi sio tabia ueleweki we vaa tu ivyo vivazi vyenu ila wenye akili wakikuona wanakuweka kundi unalo stahili kuwekwa,nakama unavyo sema boy wako anakusifia aina shida kwani hata wale malaya pale kona baa wanao kaa uchi uchi si wapo wanao wasifia kusifia sio issue ila pima unasifiwa nini?
Sawa ,, ila binafsi sitokuja kumtongaza mwanamke anayevaa nusu uchi.Yah is my boy and soon atakuwa husband......sitetei kuvaa hizo nguo ila nachoamini mwanaume anayempenda mtu wake kiukweli hawezi kuangalia mavazi bali ataangalia tabia ya mtu wake
OkayMavazi ni part and parcel.
Mavazi ndio sebuleni mtunaingiapo nyumbani unaanza kuiona.
Mavazi yapo reception.
Mavazi yanakueleza wewe ni nani hata kabla hujajieleza kwa maneno yako.
Mavazi yanakuelezea nini unawaza na unataka vile watu wakuchukulie?
Mfano. Malaya anajua atavaa nini ili wateja wampate kirahisi.
Jinsi unavyovaa ndivyo ulivyo..
Tabia zote zinajadiliwa pale zinapokua hadharani. Ila ukizisitiri hakuna atakae ku judge tabia yako kama mavazi yamfanyavyo mtu.
Ni kweli tunao marafiki zetu wakiume baadhi huku mitaani tunawahurumia kwa aina ya wanawake waliowachukua ambapo wanawake zao ni wanavaa kama makahaba.
Toka nje ya Box ujue wanaume wengi tunawazA nini.
Ukijiheshimu utaheshimika and viceversa is true.
Sent using Jamii Forums mobile app