Akili ya kuachwa ina power ya ajabu...

SOCIETY'S FOCUS

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
424
490
Akili ya kuachwa inaweza kusababisha ukafanya kitu cha ajabu ambacho haujawahi kufikiria kukifanya hata cku moja...kuna watu hawakuijua pombe ila walikunywa kwasababu wameachwa.

Wengine wameharibu kazi za watu na kufukuzwa kwasababu ya hii akili.. hii akili kweli shida.

Kuna mtu anaamka cku hio anataka kuokoka na aanze kuhubiri injili kwasababu tu ameachwa.

Wakati mwingine hii akili ikikutaka ulipize kisasi utawaza utembee na marafiki wa x wako na hata ndugu zake pengine.. akili hii ni noma.

Kuna mda mtu anatamani kutafuta mtu quality kumzidi x wake ili amuumize, lakini kwa akili hii hata huyo quality hataweza kumpata kwasababu hajatulia...

Mtu mwingine anawaza saivi nitafute pesa nyingii ili nisije kuachwa kama hivi tena lakini mipango ya kutafuta pesa haipo hata kidogo...akili hii balaa.

Eti akili hii kuna mda mwingine inamwambia mtu jipende mwenyewe tu kwani kuna shida gani bhana.

Dah wengine wapo, sizitaki mbichi hizi, nalia na mengi mara paah mtu ameoa au ameolewa na mtu asiempenda, aisee ni noma.

Kuna matunda mengi yameliwa kimasihara kwasababu ya akili hii.
Je wewe akili hii ilisababisha ukafanya kitu gani ambacho kinakufanya ujute hadi leo????
 
We upo kwenye kundi gani?? Nadhani kama sio kila mtu lakini wengi tulisha bwagwa chini na pengine sio mara moja bali nyingi tu lakini tukasonga mbele. Love with a gape. Usining'inie. Akikutupa utavunja uti wa mgongo bureee. Usikubali kufia kidonda. Je akifa kwa kugongwa na gari utalitafuna gari?? Mapenzi ya ulimbukeni na haswa kipindi hii ratio iko 4:1 nayakataa
 
Time hizi sio za kuingia deep, utaumia
 
Ukiwa kwenye hali kama hio, fikiria miaka mitano iliyopita na fikiria miaka mitatu ijayo then move on! Ukiwa na silaha unaweza kuua! Acha usikubali shetani akushinde!

Kitochi Original
 
nilikuwa na demu mmoja baba yake alikuwa MP kamanda wa kikosi furani cha jeshi uko nilipokuwa sasa bhana kuna siku yule demu tukagombana na baada ya kugombana akanitamkia kuanzia Leo tuachane weee wakati Mimi nilikuwa na bip tu fire ila yeye kafire kabisa ooh shit achachachachacha ilikuja nguvu moja sikujua ilitokea wapi nikaenda mpaka kwao nikagonga geti nikaona awafungui nikaingia gafra mpaka ndani ooooh my foot nakutana na MP kamanda amekaa sebulen na mama wa yule demu dah yule dingi akauliza ww nani mbona unaingia bila hodi dadadadadada jaman ile nguvu ikapote gafra nikakimbia kutoka nje mzee akaanza kunikimbiza bahati nzuri geti lilikuwa wazi dah sitasahau siku ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
vipi demu mlirudiana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiishi kwa visasa labda nikushauli tu ukikaa idle ndio mawazo mabaya yanakuja tafuta kazi au kitu cha kujishughulisha iliusiweze kuwaza mabaya.
 
Back
Top Bottom