"....akili ndogo inataka kutawala akili kubwa..it is shameful, problem can not be solved by the same level of thinking that created them... You guys , you're tired. Mmetuweka kwenye mess ninyi wenyewe ni lazima akili ya juu zaidi ije kutatua... Ni principle... Insanity is keeping doing the same things in the same ways and xpecting to get different results... Maendeleo duniani yamekuja kwa mawazo yanayopingana....."
IMELETWA KWENU KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.
Babari za uhakika zinatonya kuwa baada ya kauli nzito ya mchungaji, mzinzi aliitwa na wenzake akaonywa aache uropokaji kwani uropokaji wake unazidi kukiumiza chama chao."mimi kama mchungaji tunaombea wazinzi, wanaofumaniwa na wake za watu ndo tunawaombea, mimi kama mchungaji tunaombea wenye pepo......"
"mimi kama mchungaji tunaombea wazinzi, wanaofumaniwa na wake za watu ndo tunawaombea, mimi kama mchungaji tunaombea wenye pepo......"
My eyes are very sharp on English words since I am the English Learner......I've done some editing in your quoted statement. I remember the original spokesperson made it perfectly but the reporter has quoted some words wrongly!
"....akili ndogo inataka kutawala akili kubwa..it is shameful, problem can not be solved by the same level of thinking that created by them... You guys , your tired. Mmetuweka kwenye mess ninyi wenyewe ni lazima akili ya juu zaidi ije kutatua... Ni principle... Insanity keeps doing the same things in the same ways and xpecting to get different results... Maendeleo duniani yamekuja kwa mawazo yanayopingana....."
IMELETWA KWENU KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI.
"Jamani ulizeni maswali yasiyo ya kukomoana" by Spika. Hapa anamaanisha ulizeni maswali ambayo mawaziri wamejiandaa kuwadanganya watanzania......
Poor me!