KDF-BabaYao
JF-Expert Member
- Sep 2, 2014
- 221
- 317
For a long time nimekuwa nikilurk hapa but ikabidii sasa nianze kutoa maoniWanajifanya eti hawajui sisi ndio tumeifanya hii forum ikajulikana nje ya Tanzania...let them continue...tutaelewana tu
Wakenya wameiskuma sana hii forum. Lakini the amount of misinformation kuhusu kenya from these ccm agents ni nyingi😂