AKili kubwa - Kenyan made military drone

Wanajifanya eti hawajui sisi ndio tumeifanya hii forum ikajulikana nje ya Tanzania...let them continue...tutaelewana tu
For a long time nimekuwa nikilurk hapa but ikabidii sasa nianze kutoa maoni

Wakenya wameiskuma sana hii forum. Lakini the amount of misinformation kuhusu kenya from these ccm agents ni nyingi😂
 
Tekinolojia ya drone ipo kitambo sana,
Tengenezeni kitu kipya,mfano alexander kalashnikov alitengeneza bunduki mwaka 1947,leo inaitwa AK 47,au mashine gun.
Israel Wana UZI,nyie chenu pekee mlichotengeneza ni kipi?
Hapo utakuta kampuni kutoka ulaya imekuja Kenya ikafungua kiwanda na kuleta tekinolojia,
 
Wame delete ile thread nyingine....that's why mimi huingia jf after two weeks cause imekuwa too political
Ifike pahala hata wakenya tususie hii forums, mtu aje na forums kali aiweke kwa lugha ya kiswahili kabisa na awavute haswa wacongo na waganda, watakuja tu...hii iwe strategy ya kuwaangusha hawa, wamekuwa na siasa chafu sasa.
Nakumbuka uzi wangu kuhusu mafuriko na uchafu Dar ulifutwa upesi kwa ghadhabu.

shenz sana hawa.
 
That is what i realized too.. Post any negative TZ news... They are removed immediately
Hii forum itawachiwa ccm party members tu
 
Dah! Mbona yale makajamba yamekawia kutokwa ushuzi humu, hongereni muendelee hivyo, taratibu mtatia akili na kufikia ukomavu.
Unaleta hoja alafu unawaita wachangia hoja majina ya kijinga bas baki na hoja yako.Hustler ww
 
Ifike pahala hata wakenya tususie hii forums, mtu aje na forums kali aiweke kwa lugha ya kiswahili kabisa na awavute haswa wacongo na waganda, watakuja tu...hii iwe strategy ya kuwaangusha hawa, wamekuwa na siasa chafu sasa.
Nakumbuka uzi wangu kuhusu mafuriko na uchafu Dar ulifutwa upesi kwa ghadhabu.

shenz sana hawa.
Pale Ktalk tukona potential lakini siunajua tunapenda maneno "siwez mind kulipa soo mbili" ama "tamu kama sunguch".

Over time mtu akianzisha thread poa za geopolitics twaeza wamaliza hawa
 
suicide drones would be better yani enemy airdefences na artillery would be wiped out before ground troops advance.
Unaona vile Armenia wanakanyagwa😂, yani infantry inabaki kuwa cannon forder..

Wacha tu tuanze na hizi surveillance infact every ground unit should have some. Whoever owns the skies wins..

From gsu to army
 
Tekinolojia ya drone ipo kitambo sana,
Tengenezeni kitu kipya,mfano alexander kalashnikov alitengeneza bunduki mwaka 1947,leo inaitwa AK 47,au mashine gun.
Israel Wana UZI,nyie chenu pekee mlichotengeneza ni kipi?
Hapo utakuta kampuni kutoka ulaya imekuja Kenya ikafungua kiwanda na kuleta tekinolojia,
Kenya tunatengeneza rifle zetu, ka mkao wa kulia
Zinaitwa CMZ-4, kwa mwaka bunduki /rifles elfu kumi na mbili zinatengenezwa kwa kiwanda cha kijeshi huko Ruiru.
Mwaka ujao tunataka kuanza kutengeneza bastola /small arms.
Know you know!!! 🤣
 
Unaona vile Armenia wanakanyagwa😂, yani infantry inabaki kuwa cannon forder..

Wacha tu tuanze na hizi surveillance infact every ground unit should have some. Whoever owns the skies wins..

From gsu to army
Wana bahati mimi sio president, budget kubwa ingeenda kwa jeshi kudadadeki. Wale jamaa wanafaa vifaa vya maana, alafu zile G3 jamani si watoto wa watoto wetu watazipata tu. I hate those things(venye zinakaa 😂😂😂😂)
 
Back
Top Bottom