Akili imenikaa sawa, baada ya kuona vinyoyanyoya

Akili imenikaa sawa, baada ya kuona vinyoyanyoya

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,831
Huyu mtoto wa kike naishi nae hapa mtaani ni mwezi sasa tangu akubali ombi langu. Sasa wadau kilichonichosha, ingawa tuko mtaa mmoja, akawa anataka tuwe tunawasiliana kwa simu tu kama tunaishi mikoa tofati vile.

Eti mmewahi kuiona wapi hii jaman? Na kama kuonana basi atakuja ofisini kwangu kunipa hi na kuondoka. Nikimwambia tuonane private ili tupange future yetu vizuri, analeta stori nyingiiiii, mara ooh sijazoea kuzurura na sababu nyingine zisizo na mashiko.

So habari nzuri kwenu wadau ni kwamba nimemchana vya kutosha na kumwambia asepe ila pia kuonesha sishoboki kizembe, papuchi yake sijaigusa wala denda sijala.

SAMAHAN UANDISHI NI SHIDA KWA HII SIMU
 
Haya Mkuu ndio uwanaume tafuta mwengine,wapo wengi wanao taka offer yako....
 
Daaahh hatariii muraaa rakin saraama,NB:decision when ur stressed equal to variation/deviation
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom