AKILI cartoons nawapongeza sana!

AZUSA STREET

JF-Expert Member
Oct 31, 2013
2,007
1,897
Nachukua nafasi hii kuwapongeza waandaaji wa katuni za akili zinazofundisha watoto wetu kiingereza toka kwenye kiswahili. watoto wangu wanazijua hadi ratiba kabisa za lini kipindi hicho kinaonyeshwa tbc, na kinawasaidia. sisemi kwa unafiki, nawapongeza sana, na Mungu awabariki. watoto wangu wengine miaka miwili wanajua kuhesabu hadi ishirini/twenty, na wamevichika vipengele vya akili hadi nashangaa. asanteni.
 
Back
Top Bottom