robin van carter
New Member
- Feb 15, 2015
- 0
- 1
Habari zenu wakuu nahitaji msaada wenu Kwa hili ,nimetumiwa pesa kutoka ulaya kwa transfer wire kupitia akiba bank toka November 6 lakini cha ajabu hawa jamaa wa bank kila Siku nikienda wananipiga calendar wakati jamaa aliyetuma amethibitisha kwamba ametuma na vielelezo vyote ninavyo. Nifanye nini hapo wakuu kutatua hili tatizo.Mimi nafikiria kwenda kwa mkurugenzi. msaada wenu wakuu.