DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Jan 6, 2017 #2 JPM amebana madawa ya kulevya sasa Arosto zinawaumbua hawa watoto...sad
Zuleykha JF-Expert Member May 20, 2016 1,176 1,680 Jan 6, 2017 #3 So sad.Unajua mlamba asali halambi mara moja..Ila kwa msimamo tu
Others JF-Expert Member Dec 28, 2013 1,189 2,758 Jan 6, 2017 #4 Wakubaliane na ukweli na waende SOBA HOUSE kwa Dada Pili Misana.
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 Jan 6, 2017 #5 Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa.
Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa.
Aishah2016 JF-Expert Member Jun 11, 2016 2,225 2,482 Jan 6, 2017 #6 Iyo ya kwenye ulimi ndo Tamu sana
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,202 69,276 Jan 6, 2017 Thread starter #7 hazole1 said: Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa. Click to expand... ungeongezea walau ajira ziongezeke
hazole1 said: Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa. Click to expand... ungeongezea walau ajira ziongezeke
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,202 69,276 Jan 6, 2017 Thread starter #8 Aishah2016 said: Iyo ya kwenye ulimi ndo Tamu sana Click to expand... ulishawahi kuijaribu..?
hazole1 JF-Expert Member Jan 3, 2015 4,319 3,916 Jan 6, 2017 #9 KENZY said: ungeongezea walau ajira ziongezeke Click to expand... Ni ×100 ikawa hivyo.
KENZY JF-Expert Member Dec 27, 2015 30,202 69,276 Feb 23, 2017 Thread starter #10 hazole1 said: Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa. Click to expand... mkuu nasasahivi limewashinda..?
hazole1 said: Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa. Click to expand... mkuu nasasahivi limewashinda..?