Julius Mtatiro
Member
- Jun 20, 2009
- 45
- 225
Jamani, mtu yeyote asichangie wala kupokea maombi ya pesa anayotumiwa kwa njia za ujumbe wa simu kutoka akaunti yangu ya FACEBOOK (Julius S. Mtatiro) au ya GMAIL (juliusmtatiro@gmail.com).
Akaunti ya GMAIL ilivamiwa tangu jana mchana na kabla sijai-recover ikawa imetumika kulog- in kwenye akaunti ya FACEBOOK ambayo inatumika vibaya hadi hivi sasa.
Naendelea na juhudi za kurudisha akaunti hizi. Poleni sana. Ukipokea ujumbe wowote wa hadaa kutoka kwenye akaunti hizo, wasiliana nami haraka sana.
Kuna watu kadhaa wamesharipoti hivi punde kuwa wameanza kuombwa fedha kupitia akaunti hizo.
Julius Mtatiro,
+255787 536759.