Akaunti ya Benki ya mtu aliyefariki

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,952
Wakuu habari zenu?

Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria waruhusiwe kuisimamia kwa muda flani kwakuwa kuna miamala ya fedha (za kibiashara) ambayo bado inaingia kwenye hiyo account. Inawezekana?
 
Wakuu habari zenu?
Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria waruhusiwe kuisimamia kwa muda flani kwakuwa kuna miamala ya fedha (za kibiashara) ambayo bado inaingia kwenye hiyo account. Inawezekana???
Akaunti inatakiwa kufungwa Ili kuruhusu msimamizi wa mirathi achaguliwe na aidhinishwe na mahakama, na Kama kuna pingamiz linatolewa na kufanyiwa uamuzi. Haiwezkan akaunti uendelee kuioperate wakati mahakama haijakuruhusu. Ila Kama ni mke au mume unajua pasaword yKe Unaweza Kuwa unatoka Kwa njia hio ila still utakuwa unavunja sheria.mambo ya mirathi yanamambo mengi Ndo maana akaunti za marehemu Huwa zinafungwa Kwa muda Kwa Ajili ya usalama.so ukiteuliwa Kuwa msimamizi wa mirathi unaioperate vizuri Kabsa. Kila la heeri
 
Kumbe...baada ya uteuzi unaweza kuioperate. Sawa asante.
Mahakama ya mwanzo wanasema inafungwa kabisa na haiwezekani kuwekwa wazi tena kwa mda flani. Ngoja nitasisitiza hili.
 
Akaunti inatakiwa kufungwa Ili kuruhusu msimamizi wa mirathi achaguliwe
account inafungwa baada ya msimamizi kupatikana
na aidhinishwe na mahakama, na Kama kuna pingamiz linatolewa na kufanyiwa uamuzi. Haiwezkan akaunti uendelee kuioperate wakati mahakama haijakuruhusu. Ila Kama ni mke au mume unajua pasaword yKe Unaweza Kuwa unatoka Kwa njia hio ila still utakuwa unavunja sheria.mambo ya mirathi yanamambo mengi Ndo maana akaunti za marehemu Huwa zinafungwa Kwa muda Kwa Ajili ya usalama.so ukiteuliwa Kuwa msimamizi wa mirathi unaioperate vizuri Kabsa. Kila la heeri
 
Nadhani inawezekana niliwahi kuona binti nikiwa ktk folen nmb aliekua mbele yangu alikua akipeleka ombi hill akawa anaulizwa kama ameleta muhtasari was kikao cha mirathi kama sikosei, cheti cha kuzaliwa hichi sijui no cha nani, cheti cha kifo hvi ndio navikumbukana. Nadhan ujienda bank watakupa maelekezo kwan watakua wanafanya
 
Sawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??
 
Wakuu habari zenu?

Ninaomba msada na muongozo kuhusu hili jambo. Mfano kuna account bank ambayo mhusika wake alishafiriki ila warithi wa marehemu wangependa account isifungwe na kisheria waruhusiwe kuisimamia kwa muda flani kwakuwa kuna miamala ya fedha (za kibiashara) ambayo bado inaingia kwenye hiyo account. Inawezekana?
Kama miamala ya fedha inaingia ina maana iko active haitafungwa. Ila kwa nini wanataka iendelee wakati mwenyewe kesha kufa? Wafnye process ya mirathin ili waiclaim.
 
Baada ya mwenye akaunti yake benki kufariki, Akaunti hiyo hufungwa na taarifa zote huhamishiwa kwenye akaunti za mahakama ambapo mchakato wa mirathi hufunguliwa. Kwa kipindi chote cha mchakato wa mirathi, akaunti haiwezi kutumika hadi atakapo patikana msimamizi wa mirathi.
 
Sawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??
Ni kweli huwa zinahamishiwa kwenye account ya mahakama ikiyoko BOT kisha baada ya taratibu zote warithi wake huingiziwa kadri ya uwiano uliowekwa
 
Kwa mujibu wa Ripoti ya CAG mwaka huu akaunnti hii ina Tshs 21 Bilion na wahanga wana hadi miaka 20 hawajaenda kuchukua fedha zao. Daaaah halafu BOT wako kimiaaaa hata hawatoi elimu wala majina ya wenye mapesa yao wajitokeze!
 
Sawa asante sana. Ntaenda pia bank. Maana secretary wa pale masjala sijamuelewa kabisa. Eti na hela zilizopo humo zinahamishiwa kwenye account ya mahakama??
Nimecheka, ukirudi mwambie secretary taaluma yako ni ya uchapishaji wa hukumu mengine sio utaalamu wako, akisema kwanini mwambie pesa zinaingiaje account ya mahakama nimecheka ni mahakama gani hiyo ya kino
 
Back
Top Bottom