Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
Nashangaa sana watu wansema eti.mange ana matusi hivi hayo.matusi hamtukanagi huko.mtaani?? Je hamyajui? Je siku mkitibuana na binadamu wenzenu je hamyatamki hayo??
Ni upuuzi kufananisha! Kuna watu wana matuso lakini familia zao hazijui na wana heshimiwa sasa Mange ana followers ambao ni kaka zake wakuzaliwa naye na ndugu pia na mtoto wake mkubwa yupo kwenye social media pia
 
Mkuu aliesema anamtafuta ni nani? Kuna kauli zinaongelewa na viongoz wetu kama watoto ujue yule akipata tatizo mtu wa kwanza kuhisiwa na serikali yetu kila uchwao wanamlilia tayar watu wanajua ana bifu kubwa na serikali.
Kwa asiyemfahamu Mange atahisi ni serikali lkn kwa anaye mfahamu vzr atajua kuwa ana maadui wengi sana tofauti na serikali
 
Nashangaa sana watu wansema eti.mange ana matusi hivi hayo.matusi hamtukanagi huko.mtaani?? Je hamyajui? Je siku mkitibuana na binadamu wenzenu je hamyatamki hayo??
yamezidi yale ya yule mh mbunge wa lile jimbo kule kanda ya kati???
 
najua ili povu ulilolitoa anagekua kafanya same thing yule mtoto wa kariakoo lingegeuka Mchuzi.
yani haters bana hahahhhaha
 
Kuna watu wana midomo jasiri kuliko ubongo,hivi ulishawahi kugombana na mtu ukimcheki mwili wake umeogopa lakini mdomo unatema cheche balaa.
Upinzani tumshauri huyu binti atukane serikali kivyake asiwe connected kabisa na siasa. Hebu assume binti yako anamrushia matusi mtu aliyegombana naye kwa interest zake binafsi halafu wewe umekaa pembeni unasikia, huyo anayetukanwa atakuchukuliaje.
 
Hahah Mange kimambi mwanasiasa wa kujitegemea.
 
we jinga, upinzani una vikao halali vinavyotambuliwa na msajili. hayo ya mitandao siyo upinzani
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…