Tetesi: Akaunt ya Mange insta yadukuliwa

Status
Not open for further replies.
hakika hii ac imedukuliwa


alafu kuna nyumbu wame like alichopost ,haya mambo yanachekesha kweli
 
Screenshot_20171014-111403.png

Mwandiko wa mange kabosa huu. Anapenda kusema 'haki'.
Kweli mange is a lonely ass. Kumbe hadi leo kinamuuma alivogombana na kina kiki
 
Ukiangalia trend ya wafriika kufikir kuwa karibu na msanii mkubwa wa usa ni kufanikiwa basi leo wiz kid na davido tungewaona kwenye bilboard top 100 za Usa acha hizo picha mkuu zisikupe iman bado sana wale jamaa wanatuchukulia sisi local tu Akon peke yake kafanikiwa Ay aliimba sana na kina sean kingston yupo wap? Wiz kid kafanya ngoma na drake hata top 100 haikuingia na drake yupo juu zaid ya ross
FACT
 
Account kuwa hucked nitofauti na kutekwa kwa mtu jamani anyway tusubiri jioni akiamka tutajua kalewa, au hacked
 
Kumbe ile e mail ilikua ya kweli! Mlevi ndio huwa anasema ukweli
Ndio.. Mii mwenyewe nimejua leo kuwa ile email ilikua ni kweli. Coz siku zote mlevi ndo huwa anasema ukweli.
Haha namsubiri atakuja na lundo gani la uongo la kuwachota wale misukule wake
 
Ndio.. Mii mwenyewe nimejua leo kuwa ile email ilikua ni kweli. Coz siku zote mlevi ndo huwa anasema ukweli.
Haha namsubiri atakuja na lundo gani la uongo la kuwachota wale misukule wake
Dah basi huyu dada si wakumuamini sana hata uanaharakati wake muda wowote ana change
 
Sio wa kumuamini kabisa. Yani nawaangliaga watu wa cdm kina Kilewo, kina Binamu Bananga wanavoji attach naye nawaone huruma. Wasubiri akiwachenjia watakoma. Sio wa kumuamini kabisa
Ha ha alivyokua anamsifia Bint Makamba and family na akawavua nguo na hata Wema aangalie sana dalili zipo wazi siku isiyo na jina ataisoma
 
yaani kama kuna great thinker humu anayeamini mange amelewa au account yake iko hacked, basi atakuwa na upeo mdogo mnoooo. you dont know her. yuko tayari kufanya chochote kwa ajili ya chochote. anachokifanya ni makusudi ili kutoa attention kwenye event ya danube gsm mall
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom