Akamatwa na pembe za ndovu - Mbinga

Ni ku'misuse' jeshi la wananchi...kwahiyo askari wa wanyama pori wamefutwa kazi au wamepewa likizo bila malipo.
Ebu fikiria vizuri...hivi majuzi alikamatwa askari wa jeshi la wananchi na pembe za ndovu...je. hapa mnataka kutupa picha gani...!?

Nyie kila kitu kwenu si chema, chema ni pale tu Slaa anapomjengea mchumba jumba la kifahari kwa pesa za ruzuku, kuulizwa, anasema kakopa kwenye chama, hivi chadema ni saccos?
 
Nasema tunashukuru sana kupewa jukumu hili,maana walizidi sana

Tunawaamini manake nyie kila kitu kwenu ni Operation! ila mkuu cku nyingine fanya km umekosea kwenye keybod tupia na 2jina! MODS wakifuta wengine tunakuwa tushajua! wanaosema Utajiri wao umetokana na majaaliwa ya Allah kumbe wanakwiba Nyala za Govmnt!
 

usijali nakelwa sana bibi zetu wanateseka vijijini lakini wao wanakula mali zetu hivi hivi
 
Kesho utamuona mtaani. Hii nchi majanga.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
WaTZ tumezidi mno kushangaa hata panapostahili kukimbia. Usikute walitaka kuwa wa kwanza kuipata hiyo news ili waonekane wakali. Poleni mliochezea kichapo hicho. Chezea JWTZ weye!
hahahaa... kumbe walikwa ni ma BLOGGERS wa bongo? then leo imekula kwao.
 
hahahaa... Kumbe walikwa ni ma bloggers wa bongo? Then leo imekula kwao.

et waislam wenzake wameandamana mpaka kituo cha polisi hapa kushinikiza mwenzao muuza pembe atolewe,walichofanya jwtz wanajua wenyewe
 
Nyie kila kitu kwenu si chema, chema ni pale tu Slaa anapomjengea mchumba jumba la kifahari kwa pesa za ruzuku, kuulizwa, anasema kakopa kwenye chama, hivi chadema ni saccos?

Yaani bado hamjaelewa somo... nimekufundisheni hivi kwenye uzi ule>>>https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ari-357-za-jk-nje-ya-nchi-13.html#post7524250



Jibu hoja kwa hoja makini...

Nizidi kukuuliza kama ndege ya jeshi la taifa lingine ilitua nchini mwetu bila jeshi letu kujua na kuondoka na wanyamapori wetu....Je. hiyo inaleta picha gani kwa mukulu kuagiza jeshi hilo kutwaa madaraka ya askari wa wanyama pori ...?
 
Hao ndio wanaowafanya al shabaab waendelee kuwa na nguvu kwa kuwauzia nyara hzo na wao wakauza kwa bei nzuri zaidi na kuleta madhara kwa jamii,ikiwezekana kunyongwa wanyongwe tu
 

Kumbe gari la hospitali ambalo ni la serikali ndiyo kazi yake kubeba haramu? Noma sana hii.
 
et waislam wenzake wameandamana mpaka kituo cha polisi hapa kushinikiza mwenzao muuza pembe walichofanya jwtz wanajua wenyewe

waislamu tena wanataka aachiliwe? Tengua viuno ngosha nipo njiani nakuja na sajda
 

Na wale walioshikwa na kufunguliwa kesi hujawaona?
 
Kama ndio operesheni imeanza tuambiwe kabisa kwani maliasili hawana nyenzo wakaomba Jeshi la Wananchi liwasaidie. Na hakuna kuogopa mtu iwe kama ile operesheni Sokoine ya wahujumu uchumi, kwani watu walishika adabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…