Sijui huyo Emmanuel ana matatizo gani. Kwa uelewa wangu sikukuu zozote zile za kidini, zinatakiwa kutumika kuijenga imani ya mtu na Mungu wake kwa kutambua, kukumbuka na kutenda mambo ambayo viongozi wa zamani wa imani hizo waliyatenda. Naghafirika kuona kuwa sikukuu hizi zinatumika kufanya mambo ya kumchukiza Mungu badala ya kumfurahisha.Wana JF, siku chache kabla ya PASAKA nilitoa angalizo kuwa, watu waitumie Pasaka vema, wazazi wawaangalie watoto wao hasa wa kike n.k. Sasa kuna kabinti ka form two hapa kwetu town alikuwa amepotea tangu jumamosi usiku alipo kuwa ameenda kwenye mkesha wa Pasaka, jana kutwa nzima hakuoneka, katika kutafutatafuta, vijana wakamtonya baba wa binti kuwa mwanao atakuwa kwa Emmanuel, leo hii mida ya saa 12 asubuhi, tukavamia nyumba ya akina Emmanuel na kumkuta bado kalala na mtoto wa form two! Hapo kilichoendelea ni kipigo na kijana kapoteza fahamu na hadi sasa hajaziduka, bado yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari! Sasa jamani, kwanini vijana wakazanie vitoto na watu wazima (wasichana) wamejaa tele? Kwanini tunatumia sikuu tena za kiimani kukwapua watoto wa watu?
Wana JF, siku chache kabla ya PASAKA nilitoa angalizo kuwa, watu waitumie Pasaka vema, wazazi wawaangalie watoto wao hasa wa kike n.k. Sasa kuna kabinti ka form two hapa kwetu town alikuwa amepotea tangu jumamosi usiku alipo kuwa ameenda kwenye mkesha wa Pasaka, jana kutwa nzima hakuoneka, katika kutafutatafuta, vijana wakamtonya baba wa binti kuwa mwanao atakuwa kwa Emmanuel, leo hii mida ya saa 12 asubuhi, tukavamia nyumba ya akina Emmanuel na kumkuta bado kalala na mtoto wa form two! Hapo kilichoendelea ni kipigo na kijana kapoteza fahamu na hadi sasa hajaziduka, bado yupo chini ya uangalizi maalum wa madaktari! Sasa jamani, kwanini vijana wakazanie vitoto na watu wazima (wasichana) wamejaa tele? Kwanini tunatumia sikuu tena za kiimani kukwapua watoto wa watu?
Angekua ni binti yako ungetoa maoni hayo?Kametaka kenyewe coz hakajabakwa
No fatakis without wafatakiwa and vice versa! Nani anauliza 'kwani nini kufuata vibinti vidogo?', ina maana wewe hujui kwa nini wanaume watu wazima wanafuata vibinti vidogo?
masikini Emmanuel.....wasiwe tu wamevunja nanihii yake.......
Angekua ni binti yako ungetoa maoni hayo?