AKA & Diamond Platinumz - Make Me Sing [VIDEO]

"...Hajawataja, Mademu zake humo"
 
Sijakuelewa, nimemjibu alietoa thread kuwa tayari kuna special ya diamond, we nae sijui umeibukia wapi umekuja kutua hapa kama mchawi nimekuambia wewe mxyuuuu
Msamehe bure, ndo kosa la ku ungaunga
 
A.K.A sio rapper bora Afrika.....mfutilie Sarkodie...hataree
 
A.K.A sio rapper bora Afrika.....mfutilie Sarkodie...hataree
Sarkodie yeah yuko poa lakini flavour zao ni tofauti, so sisi wengine tunaamnini AKA ni bora zaidi!! Kuna wengine watakwambia Burna Boy ndio bora na usishangae maana ni mitazamo tu!! But nimekusoma mkuu..
 
Level aliyofikia huyu dogo itachukua muda sana kutoweka kwenye ramani ya Muziki duniani.

Yaani hata akitoa wimbo wa kipumbavu hivi, utahit tu kwakuwa kila mmoja anataka kufuatilia What does he offer to them..!! Hata maadui zake hawabanduki kwenye ving'amuzi vyao, wengine ndo wanakesha wakikodoa macho YouTube kujua nini kijacho..!!

Kwa style hiyo Daimond atadumu sana Kimuziki

BACK TANGANYIKA
 
video inaonesha diamond na aka ni majambaz waliovamia bank na kuiba pesa nying kisha kwenda kuhonga
 
video inaonesha diamond na aka ni majambaz waliovamia bank na kuiba pesa nying kisha kwenda kuhonga
Yap! Nahisi kitu kama hicho pia, maana hiyo teaser inaonyesha mazingira flani hivi ya bank alafu Chibu aliwahi kutupia kapicha kamoja ka video ya huu wimbo yuko ameshika bunduki..
 
Sarkodie yeah yuko poa lakini flavour zao ni tofauti, so sisi wengine tunaamnini AKA ni bora zaidi!! Kuna wengine watakwambia Burna Boy ndio bora na usishangae maana ni mitazamo tu!! But nimekusoma mkuu..
Mkuu huyo anayesema Burna boy anafanya Rap atakuwa na mtindio wa ubongo..Burna boy hafanyi rap mkuu
 
Wakati tunaisubiri ii ngoma ya make me sing ya chibu na AkA hii hapa teaser nimecheka mpaka nimebanwa na mkojo duuh
 
Sijakuelewa, nimemjibu alietoa thread kuwa tayari kuna special ya diamond, we nae sijui umeibukia wapi umekuja kutua hapa kama mchawi nimekuambia wewe mxyuuuu
hshahahaaa,kama nakuona hivi ulivotoa huo msonyo,hlf km sura umekunja kdg kuonesha amechukizwa na huu ushuzi wa huyu jamaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…