View attachment 223099 Mikhail kashalaskov inventor of AK 47
Kwanza kujuta ni psychological hakuna uhusiano wa moja kwa moja na uhatari wa silaha, kwake hakujua kama ugunduzi wake ungekuwa na madhara makubwa kwa maisha ya binadamu kama ilivyokuwa kwa malengo yake ya kusaidia nchi yake!!!Hebu nipe mwanga kidogo, kwani hyo AK47 ndo siraha hatari zaidi? Mbona waliogundua aina nyingine ya siraha hawajutii kama huyu. Alafu kwa nini alijulikana sana kuzidi wagunduzi wengine?
yeah! Huyo jamaa alikiri kabisa kuwa 'nasikitika sana kuona siraha yangu ya Ak47 ikiteketeza roho zisizo na hatia' yeye yawezekana hakuweza kuona mbali madhara ya hyo siraha..
Ak47 ndio siraha iliyoimara zaidi kat ya siraha ndogo. Mataifa mengi yanaziboresha lakn haitazifikia hii siraha. Marekan alitoa m4 na china pia alitoa sample moja hivi ukiachana na smg lakn hii ngoma iko makini mno... Ukiangalia hata wababe wa kivita hasa Osama akiwa kwenye action zake alikuwa haiachi hyo siraha..
Gas operated. . . . .
It makes it what it is. . . . . . . . . . .Not safe...................
Ni mila na desturi yao kama vile wamasai wavaavyo mashuka
Sio siraha......ni SILAHA.......
Na sio kuhunda.........ni KUUNDA.........
eeeh ndio....... Mshana Jr.......
halafu........naweza kuipata wapi yangu nijilinde na Panya road.......?........
Preta, acha masihara, yaani unataka AK47 kujilinda na Panya road? Panya road n wa mkwara we maneno tu
View attachment 223099 Mikhail kashalaskov inventor of AK 47
Sio siraha......ni SILAHA.......
Na sio kuhunda.........ni KUUNDA.........
eeeh ndio....... Mshana Jr.......
halafu........naweza kuipata wapi yangu nijilinde na Panya road.......?........
Wewe Panya road hujasikia habari yao vizuri........tena wewe ninavyokuona.......ungeelewa vizuri......ungeagiza LOCKHEED AC-130 SPECTRE GUNSHIP..........wallah nakwambia...........
Itabidi nijifunze kuitumia