Duuh...! Miaka 30 teacher? Daah...! Nahisi hata mimi ningeingia kwenye huo mtego wa kula tunda la EVANi mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics
Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi
Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"
Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.
Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana
Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo
Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala
Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?
Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah
Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale
Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"
Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.
Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.
Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.
Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.
Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali
Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.
Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.
Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
Ya kupiga mijitu mikubwa mikubwa kama weweIpi hiyo?
Ndio inawezekana ksbb ya ushahidi wa huyo mwenyeweTatizo lenu ndo hilo, humuwezi kuamini,ila anaomba ushauri vipi hukumu inaweza kutenguliwa
Mkuu unafikiri Mimi mwenyewe nilipenda?, Omba Mungu isitokee kwa mke wako, utamuonea huruma
Hapo nahisi hata mimi ningekula tunda la EVAKka wanawake tuna ngv sana ya ushawishi!sema hii nguvu tungeielekeza kwenye mambo ya maana tungekuwa mbali zaidi!
Ila yawezekana na mwalimu alishindwa kuvumilia si unajua tena kabinti kachanga..hahaha ila anaomba kujua kama hukumu ya ubakaji inaweza ikatenguliwa.
Huko vijijini form 2 anakuwa mkubwa mkubwa. Isitoshe form 2,wengi wameshavunja ungo. Halafu ndio inakuwa kipindi cha joto. Ndio maana siku hiyo alipata na mimbaHuenda hujaelewa, msichana alitumia njia hyo kumuaminisha ticha. Nachojiuliza maswali form 2 unapata wapi hamu ya kifanya mapenzi jamani? Unapata wap akili ya kumu-aproach men, hizo akili zinakujaha ukubwani km kuna kitu unataka!shenji!
Duuuh...! Nilikutana na mmoja huyo,kila dakika...!Umenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
Duuuh...! Wewe baba weweeeee una moyo wa ubaba wa chuma mkuuWalipima na mwenzake, sikuwa na option nyingine maana alikuwa ameanza kutembea na wahuni wa hovyo ili kupunguza nyege
Umenikumbusha msemo usemao “KILA KUBWA INA KUBWA YAKE”kuna kile chama cha mabaharia kile wanakitengo chao kinaitwa "chap.. " nini sijui.
nadhan masuala madogo madogo kama haya wangemshaur namna ya kuya solve.
hakuna kisicho na m babe wake chini ya jua.
Hebu kamsaidie mkuu,japo kwa kuchelewa lakini teacher amovushishwe outKuna sababu nyingi za kisheria za hukumu kutenguliwa ni mpaka mwenendo wa kesi utazamwe upya kisheria pamoja na nakala ya hukumu ili kujiridhisha ni hoja zipi za kusimamia kupinga uamuzi wa awali.
Duuuh....!Amemaliza udsm Sasa hivi,lakini bila kufanya hivyo nadhani Sasa hivi angekuwa analea watoto au angekuwa na ukimwi, huo utaratibu alianza nao toka form two na bado yupo na huyo mzee wake ambaye ana mke na watoto, Sasa ndiyo anatafuta mchumba ili atoe kitanzi awe na familia yake
Huenda hujaelewa, msichana alitumia njia hyo kumuaminisha ticha. Nachojiuliza maswali form 2 unapata wapi hamu ya kifanya mapenzi jamani? Unapata wap akili ya kumu-aproach men, hizo akili zinakujaha ukubwani km kuna kitu unataka!shenji!
Kama mwanafunzi alikuwa chini ya miaka 18 kubaka hakuepukiki hata Kama Ni mpz wako wa kila siku...Ni mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics
Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi
Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"
Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.
Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana
Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo
Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala
Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?
Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah
Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale
Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"
Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.
Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.
Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.
Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.
Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali
Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.
Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.
Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
KabisaaaUmenikumbusha msemo usemao “KILA KUBWA INA KUBWA YAKE”
Pole mkuu binti yako ana pepo la ngono,hakuna ugonjwa unaoitwa NYEGEUmenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito