Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 33,743
- 40,433
FACT isn't povu, sorrymkuu sasa mbona mapovu bila sababu ,what is the matter?
FACT isn't povu, sorrymkuu sasa mbona mapovu bila sababu ,what is the matter?
Huyo mtu mmoja ndio mimi hapaUmenikumbusha binti yangu ana nyege zilizopita viwango vyote vya kimataifa, mpaka nimemruhusu awe na mtu mmoja tu kwa sharti la kumwekea kitanzi ili asipate mimba na kila mwezi kupima ujauzito
@Farida ModeratorHebu nikome mie! sitaki mazoea ya kise.ngesenge
Mimi utanielewa tu mkuu, kumtafutia mtu nzima muaminifu, aliyepima ukimwi, kumwekea kitanzi na kupima mimba kila mwezi ili ikitokea kapata mimba tunatoa haraka, Sasa amemaliza chuo kikuu anatafuta mchumba aanze maisha yake anitolee mzigo kwangu, hapo nimekosea wapimkuu kwa kifupi viatu vyako sio rahis mtu kuvivaa hivyo sio kila mtu atakuelewa,na hupaswi kulaumiwa japo kushangaa hilo haikwepeki
hata mm najaribu kukuelewa ila bado.All in all , wazaz siku zote huwa wanawatakia yaliyo mema watoto wao and i hope u r one of them.
malezi yana changamoto sana.
mwaka 2010 nikiwa nafanya kazi na NGO moja wilaya ya Ludewa kijiji cha mlangali, nilishakutana na mama mmoja nurse na yy alikua na scenario kama hiyoya kwako japo zina utofauti kidogo (yamkini ni kwasabu hakutaka kunambia mengine).
lakin na yy binti yake alikua na kesi kama hizo hivyo alipoingia sekondari ikamlazimu kumuweka "vijiti", contracetive methods ili kumkinga na baadhi ya majanga akijua kabisaa binti yake kwenye hayo mambo hawez kumsaidia kwa namna nyingine yoyote ile.
sijui waliishiaga vp.
let us go down the fact mkuu,inawezekan mtazamo wangu ni old school kidogo.FACT isn't povu, sorry
nimekusoma mheshimiwa.
na huo ni ukwel.
ila hako katoto kwel kadogo mno kanaazaje kumuweza mtu mzima ujanja.Hapo ndio nilipo mind mm hapo mkuu
m.bw.a wewe nakuonya tena usinizoee.@Farida Moderator
Nashukuru kwa kumsaidia maana Mimi baba yake nilishindwa kumsaidia binti yanguHuyo mtu mmoja ndio mimi hapa
Ndio! Inawezekana!Ila yawezekana na mwalimu alishindwa kuvumilia si unajua tena kabinti kachanga..hahaha ila anaomba kujua kama hukumu ya ubakaji inaweza ikatenguliwa.
Ungekuwa wewe ungefanyaje
Watano, wengine hawana huo ugonjwa
Omeingii pwente....Anajuta baada ya kuona hali ngumu. Ina maana maisha yangekua vizuri je?
mkuu kwa kifupi viatu vyako sio rahis mtu kuvivaa hivyo sio kila mtu atakuelewa,na hupaswi kulaumiwa japo kushangaa hilo haikwepeki
hata mm najaribu kukuelewa ila bado.All in all , wazaz siku zote huwa wanawatakia yaliyo mema watoto wao and i hope u r one of them.
malezi yana changamoto sana.
mwaka 2010 nikiwa nafanya kazi na NGO moja wilaya ya Ludewa kijiji cha mlangali, nilishakutana na mama mmoja nurse na yy alikua na scenario kama hiyoya kwako japo zina utofauti kidogo (yamkini ni kwasabu hakutaka kunambia mengine).
lakin na yy binti yake alikua na kesi kama hizo hivyo alipoingia sekondari ikamlazimu kumuweka "vijiti", contraceptive methods ili kumkinga na baadhi ya majanga akijua kabisaa binti yake kwenye hayo mambo hawez kumsaidia kwa namna nyingine yoyote ile.
sijui waliishiaga vp.
Labda kana mvuto....Me ni mwalimu wa physics... ila huo ujinga siwezi kuufanya...
Ningekutandika makofi usiku huo huo na kukupeleka kwenu kwa makofi na kama ningemkuta mzazi wako ningemkata pia makofi na shuleni jumatatu ungekula makofi..
E=mc^2
Dah..Pagumu sana hapo mzee,na inahitaji moyo wa chuma haswaa maana inakua kana kwamba unamhalalishia mtoto hzo mambo.Any way, maadamu the progress is satisfying basi, mengine tunamuachia mungu tu.Mimi utanielewa tu mkuu, kumtafutia mtu nzima muaminifu, aliyepima ukimwi, kumwekea kitanzi na kupima mimba kila mwezi ili ikitokea kapata mimba tunatoa haraka, Sasa amemaliza chuo kikuu anatafuta mchumba aanze maisha yake anitolee mzigo kwangu, hapo nimekosea wapi
Siku zote majuto ni mjukuu.Ni mwanamke sasa, miaka 12 iliyopita akiwa kidato cha pili katika shule moja halmashauri ya Buchosa wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza.
Anasema akiwa kidato cha pili, alijikuta anampenda Mwalimu wake aliyekuwa anamfundisha somo la Physics
Anasema mwalimu huyo ambaye alikuwa ni kijana kati ya miaka 26 na 29 akitokea mkoani Kilimanjaro wala hakuwa na tabia za kuwatongoza wanawake wala wanafunzi, muda mwingi alikuwa anashindia majarubani na shughuli zake binafsi
Anasema "Akiwa hapo shuleni alijikuta anampenda mwalimu huyo bila sababu na alitumia mbinu kadha wa kadha kujitongoza kwa mwalimu huyo lakini mwalimu huyo hakuingia katika mtego pia alimtuma rafiki yake wake wa kike amwambie mwalimu anavyompenda"
Mwalimu huyo aliniita pembeni na kunikataza kuwa yeye hawezi kuwa na mahusiano na mwanafunzi akamsisitiza asome kwanza.
Licha ya kuniambia hivyo sikukata tamaa na kilichosababisha nisimuache kumfuatilia ni pale alipokuwa kila akija kufundisha darasani anamuita Rose, kila swali Rose jibu, kila kitu lazima atuambie Rose, nikawa nawaza huenda mwalimu ana mahusiano na Rose ndo maana ananikataa mimi, nikawa naumia sana
Siku moja niliaga nyumbani naenda part kwa mama mdogo, nilifika kwenye part ila wazo langu ni kwenda kulala kwa mwalimu usiku huo
Nilifika kwenye part lakini baada ya muda mchache,nilimuaga kaka yangu kuwa narudi nyumbani kulala
Niliondoka mpaka kwa mwalimu huyo ambaye alikuwa amepanga mtaani,nilifika kwa mwalimu nilibisha hodi, kwa muda mrefu huku nagonga mlango, ambapo mwalimu ilibidi amke afungue dirisha, kuangalia, akasema njoo huku dirishani, nikaenda dirishani, nikamwambia mwalimu, nifungulie kuna wachawi wananifukuza", Aliniuliza natoka wapi usiku huu?
Nilimwambia nifungulie nitakwambia, ndipo mwalimu alipofungua mlango nikaingia ndani, akanikaribisha ndani nikaingia nikakaa, akawa ananiuliza usiku ule natoka wapi? Nikamwambia natoka kusoma kwao Sarah ila wakati naenda nyumbani nimekutana na wachawi wamenifukuza "mwalimu akauniuliza kwa nini hukurudi kwao Sarah? Nikamwambia" walikuwa wanatokea kwao Sarah
Mwalimu akanambia, basi ngoja nikuache ulale humu ndani ili kesho uende nyumbani, mimi ngoja nikalale kwa mwalimu Peter" Nilikataaa nikamwambia siwezi kulala mwenyewe watanifuata wachawi." Akanambia ngoja nikupeleke nyumbani basi," Nikakataa kata kata "Wazazi wanaweza kukufikiria vibaya,na sasa hivi usiku sana kwetu ni mbali sana, acha tu mwalimu nilale
Mwalimu aliingia chumbani, akaniletea shuka nilale kwenye sofa, nikakubali, yeye akaenda kulala chumbani kwake, nililala kama dakika 20 hivi nikawaza nifanyeje nilale na mwalimu, nikaamka nikaenda chumbani kwa mwalimu na kumwambia" Kuna watu wananishika miguu,naogopa kulala mwenyewe, acha tu nilale na wewe mwalimu, naogopa sana"
Mwalimu alishindwa kunikatalia, tulilala kila mtu shuka lake, lakini nilipogundua mwalimu ameanza kusinzia niliweka shuka langu pembeni, nikavuta la kwake, nikamsogelea na kumkumbatia, mwalimu alishtuka akaniuliza Tatu kulikoni? Nikamwambia mwalimu nimeshindwa kuvumilia, utanikubalia tu na hali, nikavua nguo.......mwalimu akashindwa kunikatalia, ikabidi tu tufanye.
Licha ya mwalimu kuniambia iwe mwanzo na mwisho kufanya mambo hayo, kuwa amejutia kufanya kosa kubwa sana kufanya mapenzi na mwanafunzi wake" maneno hayo aliniambia kipindi anisindikiza alfajiri naenda nyumbani.
Baada ya miezi 5 nilifukuzwa shule kwa ujauzito, wazazi walinibana niwambie ujauzito nimeupata wapi,ilibidi niwambie ni mwalimu.
Kesi ikafunguliwa mahakamani, mwalimu akashtakiwa kwa ubakaji na mimba, akafungwa miaka 30 jela.
Nilitaka nimkane mwalimu ila wazazi na wanasiasa wakaingilia kati wakanitishia ikabidi nikubali
Tatu Limbe sasa yupo mtaani jijini Mwanza anatafuta vibarua ili mwanae ale na asome huku baba wa mtoto akiwa gerezani.
Anasema anajutia,mwalimu hakuwa na kosa, yeye ndiyo alikuwa na makosa.
Anataka kukata rufaa ili hukumu itenguliwe, je itawezekana?
"Parenting" , is the greatest leadership challenge of all.Mimi mwenyewe binti yangu lazima nimuwekee vijiti ili asije kunitia hasara....Hilo si pingani nalo
"Parenting" , is the greatest leadership challenge of all.
nakubaliana na huu msemo.
Mimi ni rafiki wa kila mtu, ndiyo maana nilipomwambia rafiki yangu mwenye familia yake kutembea na binti yangu wa kidato Cha pili alinielewa, Sasa amemaliza chuo kikuu na bado ni marafiki, Ile kukubali kutembea na binti wa kidato Cha pili huku unajua Kuna miaka 30 ni ujasiri sio mchezoAisee naomba niwe rafiki yako
haya mkuu, ngoja nifanye kama najikuna hivi halaf nikubaliane tu na uhalisia.inaweza ukawa ndio ukwel wenyewe huo.We chalii mbona umeshupa kuwa katoto kadogo kwanza umejua umri wake..? Pili, unaishi dunia gani kushangaa usumbufu wa genye kwa umri wa balehe..?
Mwanafunzi kumtaka mwalimu wake huwa ni sifa na hili liko wazi kuanzia madrasa hadi chuo kikuu, concern yako inaweza kuwa ujasiri wa binti na mpangilio wa matukio ila haiondoi uwezekano huo.... kwanza hadi hapo mwalimu alikuwa amejitahidi sana kukwepa.
Wanafunzi wanaliwa mno na walimu na kwao ni sifa kutambia wenzake, hata kama hii stori ni ya kufikirika.... ila ni ukweli watoto wanaliwa mno katika umri mdogo na walaji sio walimu tu.