andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 491
nadhani alitakiwa kumshirikisha mumewe katika hilo bila ya kukurupuka, kila mtu analinda mali yake bwana,bora uitwe haujiamini kuliko ukajifanya unajiamini halafu watu wanakuona b.w.e.g.e.
nimefikiria ingekuwa mimi ingekuaje? bwana ako anaomba namba ya simu au anagawa namba ya simu mbele yako kwa mawasiliano zaidi,bila ya kushirikishwa. huyo mwanaume angekuwa hayupo kipindi wanapeana namba hapo kweli, ila kwasababu alikuwepo alitakiwa kushirikishwa.
sio lazima, kama unampenda mkeo hutakiwi kuwa na wasisi nae, sasa hapo ndio hata kama alikuwa atoki nje sasa anampa nafasi ya kufanya hivyo