Ajisaidie vipi jamaa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ajisaidie vipi jamaa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by PSYCHOLOGY, Feb 17, 2011.

 1. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #1
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari members JF!
  Jamaa anae demu wake lakini demu hajulikani kwao wala jamaa hajulikani kwao na demu!
  Wamelala usiku asubuhi demu ametoka roho(amekufa) sasa jamaa hajui anmpeleka wapi huyo demu na atatoa maelezo gani?
  Usalama wake jamaa ukoje?
  Anahisi atawekwa kizuizini hadi ukweli ujulikane juu ya kifo cha demu wake.
  Anasaidiwaje wanajamvi wa JF?
   
 2. Twilumba

  Twilumba JF-Expert Member

  #2
  Feb 17, 2011
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 6,148
  Likes Received: 878
  Trophy Points: 280
  Aiseee huyo jamaa atawajibika directly!!
   
 3. B

  Breacher Member

  #3
  Feb 17, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Awe wazi tu, hakuna jinsi, hospitali watapima then watatoa report. vifo vya ghafla vinatokea. kwenye mambo kama hayo kuna kuua bila kukusudia. kuna kesi moja jamaa alimbana sana mwanamke wakati anafurahia tendo la ndoa kumbe alishindwa kupumua akafa lakini jamaa alishinda kwani kesi ilikua manslughter, zipo kesi nyingi za namana hiyo. watu kuwa wapenzi ni jambo la kawaida si lazma ndugu zake wajue. ila akikimbia atakamatwa, aendev kwa mjumbe na vyomob vya dola basi
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Feb 17, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Atoe taarifa polisi maiti itolewe atafanya nayo nini sasa??
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mambo mengine kama ya kujitakia vile
  Hapo hana jinsi si alipewa raha na marehemu
   
 6. P

  PSYCHOLOGY Senior Member

  #6
  Feb 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 177
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...akiamua kumpeleka hosp akamwache huko itakua salama kwake?
   
Loading...