PSYCHOLOGY
Senior Member
- Feb 10, 2011
- 177
- 14
Habari members JF!
Jamaa anae demu wake lakini demu hajulikani kwao wala jamaa hajulikani kwao na demu!
Wamelala usiku asubuhi demu ametoka roho(amekufa) sasa jamaa hajui anmpeleka wapi huyo demu na atatoa maelezo gani?
Usalama wake jamaa ukoje?
Anahisi atawekwa kizuizini hadi ukweli ujulikane juu ya kifo cha demu wake.
Anasaidiwaje wanajamvi wa JF?