ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by eliangikundi, Mar 26, 2012.

 1. e

  eliangikundi New Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wadau,

  natafuta mfanyakazi kuja kufanya kazi kwenye internet cafe moja ipo Tabata Kimanga. Naomba mfanyakazi huyo awe ametokea kimanga mwisho wa mabasi yanapogeuzia. Awe anafahamu computer kidogo, Awe dada.

  ukiwa tayari naomba unipigie kwenye simu namba +255 715 408 233


  wako,

  eliangikundi.
   
 2. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  yaan ndugu yangu qualification zako noma mpaka anapoishi ni criteria kwako? Duh hii kali "awe ametokea kimanga mmwisho wa magali yanapogeuzia" au kuna mtu analengwa kule nn.
   
 3. n

  namnyak Member

  #3
  Mar 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeshapata useme yup binti hapa anasifa za kazi
   
Loading...