mustaphahamisi
Member
- Sep 4, 2016
- 36
- 21
private sectors hawatoi ajira sasa mpaka serikali itakapo ajiri nimetembea taasisi zaidi ya 15 hilo ndo jibu lao "serikali mpaka iajiri"
Hivi kuna ugumu gani kututolea ajira mbona mnatunyanyasa kwenye nchi yetu huru.
private sector hawatoi ajira mpka muajiri ninyi wanaogopa mkitoa ajira tutaacha kazi zao tukaja serikalini basi tangazeni hata ajira hewa kama mnaona kazi sana au tangazeni ajira afu muajiri hata ndugu zenu na watoto wenu ili nasi private watuajiri angalau .
tumewachoka na ahadi zenu za hovyo mmeharibu maisha yetu kwa kiwango cha phd ya maganda ya korosho mnatuharibia vijana future zetu kwa mambo yenu yasiyofahamika tumechoka tangazeni ajira tumechoka na kesho kesho zenu ahadi zisizo tekelezeka..!!