Ajira za walimu zimetoka

Ajira za walimu zimetoka

chopp

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
220
Reaction score
41
Ajira za walimu hewani ila ni kwa wale walimu wa sayansi pamoja na hesabu. Ndugu zangu na walimu wenzangu wa masomo ya sanaa hii hawamu ya tano hawatuhitaji.

Kama wewe ni mwalimu wa kiswahili, english, geography n.k hebu anza kutafakari nini hatima ya maisha yako, usikae ukapoteza muda kwakusubilia ajira. Tafuta namna nyingine yakukukwamua ktk maisha.
 
Acha uongo.... Mgefahamu kama mnatafutwa nyie mliobuni tangazo msingeongelea hilo suala....
 
Acha uongo.... Mgefahamu kama mnatafutwa nyie mliobuni tangazo msingeongelea hilo suala....


Labda wao ndio wamebuni maana linaonekana vizuri kabisa kwenye tovuti ya wizara ya elimu
Screenshot_2016-12-13-22-00-46.png
 
Ajira ziko kibao naamin wote mtapata ajira kama ww n mwalimu aijalish sanaa o science o chet mambo yatakuwa poa kila m2 atapata ajira#kazi nzuri ukiwa hauko nayo ukiwa nayo n mbaya.
 
Hiyo taarifa ni kweli jaman
Walimu wa Arts mje bagamoyo tulime
 
Back
Top Bottom