Mwisho wa tangazo huwa kunakuwa na address unayopaswa utume maombi.Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
Kwanza usipoweka wanakufanya kitu kibaya sana jamaa hawana huruma kabisa yaan inabidi uelewe kwamba Utumishi PSRS kabla ya kutuma maombi na baada ya kutuma maombi jamaa wale hawana huruma na wewe hilo weka akilini mwakoNinaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
Soma tangazo husika la kazi unayotaka kuomba wanakwambia uandike address gani.Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
Address yao hio nimemwekea ajira portal wakikuwekea kazi (ajira) hawakuonyeshi Address inabidi uichukue kwenye tovuti yao ya ajira.orgSoma tangazo husika la kazi unayotaka kuomba wanakwambia uandike address gani.
Usikariri mzee.Address yao hio nimemwekea ajira portal wakikuwekea kazi (ajira) hawakuonyeshi Address inabidi uichukue kwenye tovuti yao ya ajira.org
View attachment 3440361
Huyu ametaka Utumishi PSRS ukiweka hio ya MUST kisha ukatuma kwenda Utumishi PSRS wanakukata Kichwa Chako bila kukuonea HurumaUsikariri mzee.
Hilo ni tangazo la kazi za MUST wanataka uweke address ya Vice Chancellor wa MUST.
Hakikisha unasoma tangazo husika la kazi.View attachment 3440379
Una kichwa kizito sana wewe.Huyu ametaka Utumishi PSRS ukiweka hio ya MUST kisha ukatuma kwenda Utumishi PSRS wanakukata Kichwa Chako bila kukuonea Huruma
Sipo kwenye sahili yoyote nipo kwenye kuwasaidia vijana wanaingia kwenye sahili wasiliwe Vichwa kizembe.Una kichwa kizito sana wewe.
Utapigwa chini sana kwenye saili kwa mwendo wako huu wa kumeza.
Soma na hilo taratibu ukiwa umetulia hadi mwisho.Huyu ametaka Utumishi PSRS ukiweka hio ya MUST kisha ukatuma kwenda Utumishi PSRS wanakukata Kichwa Chako bila kukuonea Huruma
Usiwapotoshe.Sipo kwenye sahili yoyote nipo kwenye kuwasaidia vijana wanaingia kwenye sahili wasiliwe Vichwa kizembe.
Address ni Utumishi PSRS nothing else ukiandika tofauti wanakula Kichwa Chako bila Huruma hata kidogoUsiwapotoshe.
Hakikisha unasoma tangazo husika hadi mwisho watakwambia kama unaandika address ya tasisi husika au Sekretarieti ya Ajira.
Hapo wewe ndo utaliwa kichwa soma tangazo la kazi mwishoni kule sio kila tangazo unatumia address ya PSRS jamaa hapo juu kakuelekeza vizuri sjui unabisha niniAddress ni Utumishi PSRS nothing else ukiandika tofauti wanakula Kichwa Chako bila Huruma hata kidogo
View attachment 3440409
Mkuu mboni hujaelewa nimekwambia akiomba kupitia portal.ajira.go.tz halafu akaweka huo mu-address wa MUST Utumishi PSRS hawatocheka nae watampiga Panga la Shingo bila kucheka nae wala kumhurumia labda alikosea ila akituma Direct kwenda MUST na ameambiwa atume Direct kwenda MUST address hio haina shida ndivyo walimuelekeza kua barua isipitie Utumishi bali ipelekwe moja kwa moja MUST na nadhani atatuma kwa POSTA, issue ni kwamba mdau anataka kutuma kwenda Utumishi address sio vinginevyo ndicho alichoomba msaada akauliza ukiweka address tofauti wanakufanyaje ndio nikamwambia ukiweka address tofauti na umeshabonyeza Appy kwenye tovuti ya ajiraportal wakakwambia attach barua ya maombi yako ya ajira, uka-attach barua lako likiwa na mu-address wa MUST basi wewe subiria kuliwa Kichwa tu yaan watakufurahishaHapo wewe ndo utaliwa kichwa soma tangazo la kazi mwishoni kule sio kila tangazo unatumia address ya PSRS jamaa hapo juu kakuelekeza vizuri sjui unabisha nini
Wabongo wengi wanapenda shortcut unamwelekeza ila bado anakaza bichwa na anampotosha mwenzake,unachomwelekeza upo sahihi ila anakomaa kuleta ujuaji ndo maana watu tulio na experience na ivyo vitu na tukavuka uko uwa tunawaangalia na Kisha tunachekaUna kichwa kizito sana wewe.
Utapigwa chini sana kwenye saili kwa mwendo wako huu wa kumeza.
Sio anabisha Kuna mifano hai ishatoke , tangazo liko addressed kwa kamishna wa misitu bado wanakwambia not shortlisted ujaweka anwani ya psrsHapo wewe ndo utaliwa kichwa soma tangazo la kazi mwishoni kule sio kila tangazo unatumia address ya PSRS jamaa hapo juu kakuelekeza vizuri sjui unabisha nini
Mnabishana nini? Jibu ni moja aliyeuliza arejee kwenye pdf ya tangazo la kazi anayotaka kuapply uwa wanaandika address ya barua inapokwenda simple tu mbonaMkuu mboni hujaelewa nimekwambia akiomba kupitia portal.ajira.go.tz halafu akaweka huo mu-address wa MUST Utumishi PSRS hawatocheka nae watampiga Panga la Shingo bila kucheka nae wala kumhurumia labda alikosea ila akituma Direct kwenda MUST hio haina shida, issue ni kwamba mdau anataka kutuma kwenda Utumishi address sio vinginevyo ndicho alichoomba msaada akauliza ukiweka address tofauti wanakufanyaje ndio nikamwambia ukiweka address tofauti na umeshabonyeza Appy kwenye tovuti ya ajiraportal wakakwambia attach barua ya maombi yako ya ajira, uka-attach barua lako likiwa na mu-address wa MUST basi wewe subiria kuliwa Kichwa tu yaan watakufurahisha
Ndio nimekwambiaje yeye aangalie hio barua ina-direct kwenda wapi ila km ni kwenda Utumishi akiweka address tofauti na ya Utumishi, hawatomchekea sana na kumbembeleza aende akabadirishe address yaan watamlima Kichwa Chake haraka sanaMnabishana nini? Jibu ni moja aliyeuliza arejee kwenye pdf ya tangazo la kazi anayotaka kuapply uwa wanaandika address ya barua inapokwenda simple tu mbona
Kama iyo kazi unaomba kupitia utumishi apo ndio changamoto inaweza tokea bila kutegemea pdf ya tangazoMnabishana nini? Jibu ni moja aliyeuliza arejee kwenye pdf ya tangazo la kazi anayotaka kuapply uwa wanaandika address ya barua inapokwenda simple tu mbona
Not shortlisted inasababu kibao na uwa wanatoa maelekezo yao aswa kwenye document za kuattach ajira portal usipovifuata wanakula kichwa ,aswa certified certificatesSio anabisha Kuna mifano hai ishatoke , tangazo liko addressed kwa kamishna wa misitu bado wanakwambia not shortlisted ujaweka anwani ya psrs