Ajira za Utumishi

Ajira za Utumishi

Not shortlisted inasababu kibao na uwa wanatoa maelekezo yao aswa kwenye document za kuattach ajira portal usipovifuata wanakula kichwa ,aswa certified certificates
Sababu wanayo toa ndio iyo barua aijawa addressed to psrs
 
Sio anabisha Kuna mifano hai ishatoke , tangazo liko addressed kwa kamishna wa misitu bado wanakwambia not shortlisted ujaweka anwani ya psrs
Hawa Jamaa ni Wabishi sana mpaka Wakatwe Vichwa kwanza ndio akili zinawarudi kenge hua hawasikii mpaka Masikio yaanze kutoka Damu
 
Kama iyo kazi unaomba kupitia utumishi apo ndio changamoto inaweza tokea bila kutegemea pdf ya tangazo
Posts uwa zinawekwa ajira portal kwa ajili ya kuapply ila pdf za matango uwa lazima zinawekwa kwenye website secretariat ya ajira katika utumishi wa umma,
 
Posts uwa zinawekwa ajira portal kwa ajili ya kuapply ila pdf za matango uwa lazima zinawekwa kwenye website secretariat ya ajira katika utumishi wa umma,
Sasa ajira portal sindio sekretaieti ya ajira
 
Not shortlisted inasababu kibao na uwa wanatoa maelekezo yao aswa kwenye document za kuattach ajira portal usipovifuata wanakula kichwa ,aswa certified certificates
Mkuu ipo hivi ukituma barua kwenda Utumishi PSRS na ukiweka Address tofauti na ya kwao ukajifanya wewe mjuaji sana yaan wewe ndio kichwa sana kuliko wao ukajiwekea Address ya Mteja wao aliewaletea Tenda ya hio Ajira na ukawatumia wao Utumishi yaan haraka sana wanakukata Kichwa Chako yaan hawacheki na wewe kabisa utavuna mabua mapema mno
 
Back
Top Bottom