thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,867
- 4,859
Ahsante sana kwa ushauri.Hujalazimishwa kuchangia, tatizo la huyo Jamaa sio lako. Yawezekana ajira kwake ndiye mwokozi kwake bhana, kama hujiskii kusoma au kuchangia skip it please
Ahsante sana kwa ushauri.Hujalazimishwa kuchangia, tatizo la huyo Jamaa sio lako. Yawezekana ajira kwake ndiye mwokozi kwake bhana, kama hujiskii kusoma au kuchangia skip it please
Uhakika umeupata wapi kuwa BAED hakuna ajira? Je na hao wa sayansi ajira zinatoka lini?Tena muuliza swali wewe huwezi kupata *Ajira* nenda kasome sayansi mana mwaka huuu BAED _HK ,GK hatuwajiri
Acheni malumbano bishaneni kwa hojammmmhh walimu utawajua tuuu
We ni mwalimu? Unafundisha masomo yapi kwa ngazi ipi?Naomba msaada kujua je Ajila za ualimu mwaka huu zinaweza kutolew pamoja nikimaanish kwa wale wahitimu wa mwaka jana na wa mwaka huu wanaweza toa ajila kwa wote
waendeleee kuwa wavumilivuuUhakika umeupata wapi kuwa BAED hakuna ajira? Je na hao wa sayansi ajira zinatoka lini?
Kama hamuwezi kumsaidia MTU kumpatia jibu basi acheni tu,mnaandika ujingaujinga....si lazima umjibu.